Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Wejamaaa wewe!....usije mpeleka mkuu chaka akaturudishia mrejesho wa kilio
hapana mkuu siwez kumuingiza cha kike, mm nna project nmeiandaa na nmefanya project kadhaa so nna uzoefu mkuu, kwa huo mtaji wake jamaa lazma atusue tatzo weng wanakosa taarifa sahihi ndo maana wanakosea biashara, am out
 
Basi kama vp tupeane mawazo mkuu ili tutusue maisha
 
Basi kama vp tupeane mawazo mkuu ili tutusue maisha
Km una capital njoo tuyajenge pm coz ni project yangu nmetumia muda mrefu kuchunguza soko,kutafuta clients na mengineyo, njoo tufanye kaz mkuu ,tuache kulia lia sijui magu ivi mara vile, maisha inabdi yasonge tu no matter what
 
kwanza una fani gani uliyosomea? kwanza unatakiwa ufikirie biashara au kujiajili kwa fani uliyosomea mfano wewe ni hotelia fikiria kwanza kunzisha mgahawa au catering au reservtion services etc, kama mwalimu fikiria kuanzisha tuition centre au shule ya awali au shule ya msingi kutokana na mtaji wako. ingawa unaweza kwenda nje ya taaluma yako lakini utatumia nguvu nyingi kupata mafanikio kuiko kufanya kitu kilichopo ndani ya uwezo wako, mfano mimi ni mhasibu tuna accounting firm na tuna train computer accounting package ni vitu ambavyo nimesomea ni rahisi kwangu kuviendeleza
Safi kabisa, nadhani hii ndio maana na malengo ya watu kusoma na kuhitimu.
 
Njoo tufuge, nguruwe kuku na sungura. Mimi nina utaalamu, uzoefu na muda wewe una hela. Tuungane (chini ya mwavuli wa uaminifu) tufanye hii biashara.

NB: Tutakua shea kwenye huo mradi, strictly sitaki kuwa mwajiriwa.

Just an option.

Kwa kweli kuna watu wana hela lakini hawajui au hawana muda wa kufanya biashara. Mimi nilikua mmoja wao. Nilikua napenda sana kilimo na mifugo lakini bahati mbaya nika Invest hela zangu kwa mijitu isiokua na akili. Hela zimepotea, traktor imekufa na wao sasa wamekaa maskani tu sasa wakilalamika hali ngumu. Tamaa iliwazidi. Kwa mtu mwenye akili unaweza ukasimamia Mali na aliye toa mtaji asipoteze mtaji Wake na akapata faida yake na wewe ukaendelea kupeta bila mradi kuharibika na uhusiano. Tunahitaji sana watu wenye uzoefu kama wewe, na uwaminifu tusiusahau.
 
Sasa vipi ndio umekata tamaa kabisa juu ya kilimo na ufugaji hautaki tena kwa yale yaliyokukuta hapo awali kama ulivyoeleza?

Hata kama hautawekeza hela yote uliyoitaja hapo juu katika mradi ninaoupendekeza still tunaweza tukaanza kwa kiwango kidogo.

Kama uko radhi, kama tutaaminiana (uaminifu ni jambo la pande mbili)
 
Kuna mda nilikata tamaa kwa sababu nilipata kipigo kikubwa sana. Sasa hivi navuta kasi kidogo na siwezi kuahidi kitu. Mambo yakinikalia sawa labda ndio nita jaribisha tena.
Wewe mwenyewe uko kivipi? Yaani kuna chochote ulioanzisha hata kama ni mazao unayo panda uani? Si lazima mtu Uwe au uanze na maheka.
 
Kitaaluma mimi ni mtu wa mifugo (animal health and production) kwahiyo niko interested zaidi kwenye ufugaji zaidi ya kilimo cha mazao.
Ndio maana nikapendekeza kufuga, nimekuwapo kwenye mashamba kadhaa kama mwajiriwa kwahiyo nina uzoefu, mradi wangu mimi kama mimi sijaanza bado, ila panapo majaaliwa nitaanza hivi karibuni (nitaanza hata na yai moja).

Hicho ndicho ninachoweza kukueleza kwa sasa.
 
Uko sahihi kabisa.
Utajiri si lazima kuanza na mamilioni.
Umenikumbusha bwana au mzee mmoja huko nchini Ghana, ni tajiri mkubwa, anasambaza mayai na kuku kila kona ya hapo Ghana, kam vile interchick. Huyo mzee alianza na kuku mmoja, huyu mzee alipokua mdogo alikua anaishi na mama yake na baba wa kambo na walikua na hali mbaya kimaisha. Siku mmoja walifika wamisheneri hapo kwao kijijini au mtaani. wakapewa somo kidogo ya mifugo hasa kuku na wakapewa vitabu wasome. Ilikua atakaye soma hivyo vitabu na akapasi mtihani wao atapewa kuku mmoja mkubwa. Baba wa kambo akaweka pembeni hivyo vitabu lakini huyo kijana ambaye ni mtu mzima na tajiri sasa akavichukua vile vitabu na kuvisoma na akaenda kufanya mtihani wao na kupasi, Na akapewa kuku mmoja.
Yule kuku alianza kutaga mayai, hadi akatotoa vifaranga. Huyo mzee anasema alikua anavilinda hivyo vifaranga kama ni watoto Wake, hadi waka kua na wakatoa nao vifaranga, na kuku wakaongezeka. Hapo ndipo alipo pata akili ili apanue huo mradi. Alienda kuomba mkopo benki lakini kila benki alioenda walimcheka. lakini hakukata tamaa aliendelea kutafuta huo mkopo hadi akapata na akaendeleza mradi Wake na sasa ni TAJIRI ajabu.
Sasa ndugu yangu kama sisi watanzania tutapeana ushauri na tukajituma nina uhakika tutafanikiwa.
 
Wajameni eeh,

Nimebahatika "kupata" mahala ka mtaji. Ni kiasi cha Shs. milioni kumi tu, (10,000,000/=) za Kitanzania.

Nipeni mapendekezo nizi invest wapi, kivipi na matarajio ya faida (i.e biashara gani inalipa (plus location), kwa muda gani, na SWOT analysis zake).

=======
Mkuu update status ya ushauri ......
 
Biashara gani naweza kufanya nikiwa na kiasi icho cha fedha nipo morogoro na ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza.
 
Habari wadau

nataka kubadilisha biashara, ijapokuwa hii ninayofanya ndio imenipa Mtaji wa kutaka kufungua biashara nyingine.

Swali milioni 6 nitafungua biashara gani hapa Dar ikanilipa vizuri?

Naombeni ushauri
 
Back
Top Bottom