Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Huu ndo ushauri wa msingi!!!
 
Kaka nitaomba maelezo zaidi kuhusu UTT
 
Njoo Maeda bar tukuoneshe cha kufanya
 
kagera ng'ombe wanauzwa bei ya kutupa 20,000/= source mwananchi 18/10/2016, kwa kukosa malisho sbb ya ukame. kama una eneo nunua walete dar wanenepeshe kwa 3months then piga bingo yako safi kwa uchache 700,000=
 
Mkuu, hiyo ni laki mbili au elfu ishirini?
 
kwa tarakimu 20,000/=or twenty thousand kiinglish. Nafikiria kwenda huko soon nikipata chance.
Duuuuh! Kama ni hivyo nadhani kuna haja ya Serikali kuingilia kati kuwaokoa wafugaji na hasara kubwa namna hiyo...hapa atanielewa mfugaji au aliyelelewa kwenye mazingira ya ufugaji
Mfugaji inafikia hatua yupo tayari kufa kuliko kuona mfugo wake unakufa mbele ya macho yake...ni zaidi ya hasara hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…