Ni biashara gani unafanya kwa sasa, tunaweza kukushauri namna ya kuikuzaHabari wadau
nataka kubadilisha biashara, ijapokuwa hii ninayofanya ndio imenipa Mtaji wa kutaka kufungua biashara nyingine.
Swali milioni 6 nitafungua biashara gani hapa Dar ikanilipa vizuri?
Naombeni ushauri
Kikubwa uwe na uhakika na soko lako tu biashara zote zinalipa tatizo wateja.
ndugu jikite kwenye ufugaji hasa wa kuku milion 2 tu zinatosha sans
Fanya biashara ya kuku ndungu inalipa Sana iwapo utaitilia mkazo...
Kuna wale kuku wa SINGIDA au wakienyeji wakubwa. Ukitafuta ndan ndan kwa gharama nafuu utaiona faida yake. Soko zuri lipo bugurun au TANDIKA.
Ukihitaji maelekezo zaid +255719034702
Hebu ingia hapa Africa-Do-Business.com na pia kama huna uwezo kusimamia Biashara nenda solo la hisa Dar es salaam nunua his a za Vodacom usubirie gawio.
Uko mkoa Gan?nipo mkoani kiongozi hao kuku naweza kuwa nawaleta huko dar?soko lake ni la uhakika.naomba changamoto zake jinsi ya kusafirisha mkuu wasije wakafa njiani
Uko mkoa Gan?
Tuangalie Gharama zake
kaka jambazi nn?Mkuu Wang una pesa nyigi, nahitaji kujua uko wap
Mkuu Wang una pesa nyigi, nahitaji kujua uko wap