vicent moshi
Member
- Apr 6, 2015
- 92
- 55
Waweza kufungua mgahawa wa size ya kati.Salaaam waungwana......naomba ushauri kutoka kwa magwiji wa ujasilia mali kuhusubiashara gani naweza kuanzisha nipate faida bila kuiba kwa mtaji wa milioni tano ......
Asante mkuuu.......Mungu akulipe memaWaweza kufungua mgahawa wa size ya kati.
Tafuta eneo zuri sehemu nzuri. Utapiga sana pesa.
Mm nilianza 2015 na mtaji wa 3m..leo nina miaka miwili kasoro nimefikisha mtaji mara 11 zaidi
Nimefungua biashara nyingine pia.
So trust me 5m is enough.
Kilimo kina changamoto zake kwa sasa.
hapo umekusudia kusema nini mkuu!?biashara ipi itanitia kwa haraka hususani kipindi hiki??
Milioni tano fuga ngombe wa maziwa nunia wawili tuuu
Tafuta shamba lenye umwagiliaji. Lima vitunguu, matikiti nkNimechoka kuajiriwa, nina Mtaji wa Milioni 5 na nataka kujikomboa kupitia kilimo/Ufugaji. Naombeni Ushauri niingie kwenye kilimo/ufugaji gani kwa kuzingatia mtaji, uendeshaji na urahisi wa masoko.
Nina shamba la hekari 3 na sina uzoefu mkubwa wa kilimo/ufugaji.
Nitashukuru sana wadau.
IPO mkoa gani iringa kuna asasiVipi kuhusu soko lake? Ni hili la kuuza kwa majirani au yapo masoko makubwa zaidi?
Shukrani!!
Ata kaoteli update kanalipa sanaVipi kuhusu soko lake? Ni hili la kuuza kwa majirani au yapo masoko makubwa zaidi?
Shukrani!!
Kwa huo mtaji wa mil 5 mkuu!kama wewe ni mkristo nakushauri fuga nguruwe pamoja na kuku wa kienyeji.
kwa hizo eka3 ongeza hekari 8 ili ulime chakula cha mifugo mahindi,alizet na majani ya nguruwe ili upunguze gharama ya ulishaji.
nunua nguruwe 10 watoto majike,nunua na kuku wa kienyeji 100 wenye umri wa miezi 3 uwapatie chanjo.
Tafuta shamba lenye umwagiliaji. Lima vitunguu, matikiti nk