Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Salaaam waungwana......naomba ushauri kutoka kwa magwiji wa ujasilia mali kuhusubiashara gani naweza kuanzisha nipate faida bila kuiba kwa mtaji wa milioni tano ......
Waweza kufungua mgahawa wa size ya kati.
Tafuta eneo zuri sehemu nzuri. Utapiga sana pesa.
Mm nilianza 2015 na mtaji wa 3m..leo nina miaka miwili kasoro nimefikisha mtaji mara 11 zaidi

Nimefungua biashara nyingine pia.
So trust me 5m is enough.

Kilimo kina changamoto zake kwa sasa.
 
Asante mkuuu.......Mungu akulipe mema
 
1..Naombeni mawazo yenu biashara ipi inalipa kwa mtaji wa 8,000,000/= ??

2..pia naomba msaada wenu utaratibu upi hufuatwa kwa mtu anaeitaji kuuza madini(dhahabu) ambao utakuwa salama bila kudhulumiwa?

Karibuni wakuu
 
1.Nahitaji kufungua biashara ninao mtaji wa 8mil, biashara ipi itanitia kwa haraka hususani kipindi hiki??

2.Pia utaratibu upi hutumika kwa mtu anaeitaji kuuza madini aina ya dhahabu ili kuepuka kutapeliwa?

Karibuni wakuu ndo lengo kuu la Jf
 
Haya mambo nchi nyingine ni ajira kabisa, mtu anakua na kaofisi kake anakupa mawazo mazuri unalipa fee, haya mambo ni Tanzania tu
 
Nimechoka kuajiriwa, nina Mtaji wa Milioni 5 na nataka kujikomboa kupitia kilimo/Ufugaji. Naombeni Ushauri niingie kwenye kilimo/ufugaji gani kwa kuzingatia mtaji, uendeshaji na urahisi wa masoko.

Nina shamba la hekari 3 na sina uzoefu mkubwa wa kilimo/ufugaji.

Nitashukuru sana wadau.
 
Tafuta shamba lenye umwagiliaji. Lima vitunguu, matikiti nk
 
kama wewe ni mkristo nakushauri fuga nguruwe pamoja na kuku wa kienyeji.
kwa hizo eka3 ongeza hekari 8 ili ulime chakula cha mifugo mahindi,alizet na majani ya nguruwe ili upunguze gharama ya ulishaji.
nunua nguruwe 10 watoto majike,nunua na kuku wa kienyeji 100 wenye umri wa miezi 3 uwapatie chanjo.
 
Kwa huo mtaji wa mil 5 mkuu!
 
Back
Top Bottom