Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?


Nimekusoma mkuu, lakini naona mtaji kama hautatosha... nikiamua kuchagua kimoja, kati ya kuku na nguruwe unashauri vipi? Yani kipi kitarudisha pesa kwa haraka?
 
Kwa huo mtaji wa mil 5 mkuu!
mil5 mbona ni nyingi mkuu..wengne tumeanza na mil3 tu.
(1)-nguruwe 10@40000 jumla laki 4.
(2)-kuku 100 miezi 3..100@4000 jumla laki 4.
(3)-chakula mil 1.5
(4)-ujenzi banda mil 1.
(5)-madawa laki2.5
(6)-dharula laki 4.5
jumla kuu ni mil4
Zingatio:uwe mvumilivu,ujitoe kimwili na kiakili uwe na upendo kwa mifugo yako.mshirikishe Mungu ktk kila ufanyalo.
kumbuka changamoto ni muhimu usikate tamaa pindi mifugo inapokufa.
Sisi wengne ufugaji ndio umetutoa lakini tumepita ktk magumu
 
Toa maelezo ya kina mkuu.....Umegusia gusia tu................
 
Nimekusoma mkuu, lakini naona mtaji kama hautatosha... nikiamua kuchagua kimoja, kati ya kuku na nguruwe unashauri vipi? Yani kipi kitarudisha pesa kwa haraka?
Mkuu nina maana yangu kukwambia ufuge mifugo yote miwili kwa pamoja,kumbuka kuku ndio watakusaidia katika kulisha/kuendeleza nguruwe pindi ukiwa hauna kipato cha kulisha nguruwe.
Kingine ya kupasa ulime mazao ya kulishia nguruwe ili kupunguza gharama ya ununuzi wa chakula na 80% ya nguruwe ni chakula
 
For quickly money anzisha banda la burger..chips..vuruga..kuku choma..makange..ndizi kaanga..utapiga hela hatari
 
For quickly money anzisha banda la burger..chips..vuruga..kuku choma..makange..ndizi kaanga..utapiga hela hatari
Sio kila mahali hiyo inawezekana je kama yupo kijijini, kijiji chenyewe kina watu 150 na kati ya hao watoto 90
unafikiri ushauri wako utamfaa?
 
Nimeelewa David Harvey
 

Mkuu asante sana kwa kunipa mwanga kwenye hili
 
Ninafahamu humu ndani kuna wajasiliamali wazuri Sana au hata kama siyo mjasiliamali lakini una mawazo mazuri sana yakuweza kunifaa.

Nina Tsh. 10m nahitaji kufanya biashara. Je ni biashara ipi naweza anza nayo.

Karibuni kwa ushauri
 
Hao nguruwe wanatumia mda gan kukua umri wa kuzaa?Na je hao majike utawambandisha na nn?
 
Wadau naomba msaada wenu kwa arusha milioni 4 naweza fanya biashara gani iwe biashara ambayo inahesabika kilahisi hata kama kuibiwa isiwe sana maana nataka kuweka mtu angalau tfanye mahesabu kwa wiki kwa wenyeji wa arusha nitafurahi hata mkiniambia hata maeneo yanayofaa kwa biashara me niko Njiro ila kumepoa sana watu wako Magetini
 
Ningependa uniajiri mkuu,

Ni vigumu sana kufanya uchambuzi ni biashara gani kwa haraka haraka, vyakula iko poa ila inategemea kama ni mgahawa wa saizi ya kati au duka la nafaka, bar pia kwa arusha inalipa vzr sana
 
Haya wa arusha mnaombwa ushauri. Wengine acha tutafute njia [emoji124][emoji124][emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…