kama wewe ni mkristo nakushauri fuga nguruwe pamoja na kuku wa kienyeji.
kwa hizo eka3 ongeza hekari 8 ili ulime chakula cha mifugo mahindi,alizet na majani ya nguruwe ili upunguze gharama ya ulishaji.
nunua nguruwe 10 watoto majike,nunua na kuku wa kienyeji 100 wenye umri wa miezi 3 uwapatie chanjo.
Nimekusoma mkuu, lakini naona mtaji kama hautatosha... nikiamua kuchagua kimoja, kati ya kuku na nguruwe unashauri vipi? Yani kipi kitarudisha pesa kwa haraka?