Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,861
- Thread starter
- #101
Nunua kiwanja na ujenge au nyumba mbovu na ikarabati katika miji inayokua na iliyopa maeneo ya ya barabara kuu na wekeza gesti.
Inalipa sana. Assume umejenga gesti moja ya kiwango cha 4m,nauhakika itapata wateja wa uhakika na fedha yako itarudi baada ya muda mfupi.
Kwa miji midogo gesti ya 4m inaonekana ya 5star.
Ajenge guest house kwa Tsh. 4m? Hapa sijaelewa! Maana 4m ni hela ya kujenga vyumba viwili tu. Au unamaanisha ajenge mbavu za mbwa?
Wapi huko mzee, na mimi nikajenge guest ya 4Mil ??? Tanzania hii hii??
...dah, na mimi nimebakia nimeshikilia kidevu kwa mshangao,...anyway...labda anakusudia nyumba ya miti na kukandika kwa udongo!
wazo zuri Ikena, sema utekelezaji wake ndio unanitia mashaka.
Kwa experiences zangu, Inawezekana kuwa na "gesti" za aina hiyo kwenye machimbo ya madini kama nilivyoona kule Tunduru miaka ya 80's! 🙂