Abdul Ghafur
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 610
- 749
HIYO NI NZURI SANA KWA WANO OGOPA RISKFungua mpesa na tigo pesa
NiuzieNilishaagiza Toyota Noah kwa lengo la usafirishaji wa abiria,
Lakini sehemu ambayo nilipanga kuitumia naona zimesitishwa, yaani mpya hazitakiwi tena,,
Sasa mm Gari ipo njiani toka Japan naombeni ushauri naweza itumia mkoa gani kuingiza pesa ,
Napatikana Zanzibar kwa sasa,
Ila gari napokelea bandari ya DSM.
Asanteni
Ishu moja mkuu sio kufikili but mwanzo sikuwa nikipiga mishe mkoa sasa najitaid hat nipate mawazo then nilikifile kip naweza kufanya.. Pia asante kwa mawazo yakUnalo tatizo kubwa la kifikra ndugu yangu.
Miaka 26 hujui namna ya kuifanya ml 10 iwe kwenye mzunguko wa biashara.Achana na kutafuta mawazo ya kuwekeza hiyo ml 10 bali anza kusoma vitabu vya ujasiriamali,tafuta marafiki wajasiriamali hili ujifunze ujasiriamali kabla ya kuwekeza hiyo pesa.
Saw mkuuKwa hela hiyo ni mtaji mzuri.
We tulia tu fanya utafiti usikurupuke.
Mi naishi Iyunga lkn nipo TBL.
Natafuta mtu tuanzishe uzabuni wa dawa za usafi kwenye makampuni,shule,viwanda na hospital.
Lkn inatakiwa tuwe na mtaji usiopungua mil 25.
Kama upo tayari nicheki pm
duh !yaan 10m aizungushe atapata tena 10m? biashara gan hyo mkuu !Kwa kutumia hiyo M10 izungushe katika biashara hiyo hiyo iliyokupatia hiyo M10 huoni kama faida itakuwa mara mbili yake?? Labda tu kama hiyo hela ni mkopo ndio itakuwa ngumu kuizungusha.
Ha ha ha ha ulijua Ngada nini, am jokin.duh !yaan 10m aizungushe atapata tena 10m? biashara gan hyo mkuu !
Mkuu amesema baada ya kupiga mishe; swali ni je hiyo mishe aliyoipiga ilikuwa halali mpaka aweze kuwekeza tena hiyo doo?Ha ha ha ha ulijua Ngada nini, am jokin.
Nilichomaanisha sio kuwa atapata hiyo 10M kwa mkupuo, nilichomaanisha ni kwamba kama hiyo biashara/mishe iliyompatia hiyo million 10 ilikuwa inamuingia lets say faida ya 300,000 basi kama ataamua kuingiza hiyo million 10 yake kwenye hiyo biashara/mishe kwamba faida si lazima itakuja mara mbili yake sasa, Nadhani umenipata hapo MBITIYAZA
Ngoja atafunguka mwenyewe hapa mkuu tumsikie.Mkuu amesema baada ya kupiga mishe; swali ni je hiyo mishe aliyoipiga ilikuwa halali mpaka aweze kuwekeza tena hiyo doo?
Tqtizo ni kuwa siwez kufany kazi iliyonipa hii pesa ingawa ilikuwa ya halali kingine kazi niliyokuwa nafany nikapt mkwanja huu sikuwa nafanyia mbeyaNgoja atafunguka mwenyewe hapa mkuu tumsikie.
Habar!! Nipo na 26yrs,, naishi na wife na mtto 1 na mama angu mzazi cjapnga baada ya kupiga mixhe nimebahatika kupat 10ml je ni biashara gan naweza piga hap mbeya nikaweza kuendesha life![/QUOTE
Chukua milion 3.7 uanze biashara na akaunti 7 kwenye kampuni ya alliance global in motion uweze kuingiza zaidi ya milioni 7kwa siku. Kama unahitaji kusikiliza semina Zake nicheck whatsaap kwa 0757409103
Nitakuelekeza vizuri
Ninayo tayariTutakupa ushauri siku ukiipata hiyo milioni kumi, kwa sasa bado uko ndotoni