Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kudadeki Watu wanaenda PM kama malaya kaona Bar, mtakuja kuliwa masikio kwa tamaa za kijinga.
 
fanya biashara hiyo hiyo iliyokufanya upate milioni 10
Mkuu hili jibu limezoeleka sana humu JF, lakini tumekariri tuu sio kila wakati linafanya kazi.

Mfano kama mtu amezipata kupitia shughuli haramu, unataka aendelee? au kama alizipata kama urithi baada ya baba yake kufariki unataka na mama yake afariki.

Kimsingi mtoa mada anatakiwa kuangalia mahitaji ya jammii anayotaka kufanya biashara na ujuzi au utaalam aliyokuwa nao alafu atengeneze wazo la biashara.
 
Habari ndugu zangu. Mimi ni kijana mwenye miaka 26 sasa nimepambana kutafuta mtaji wa kuanzisha biashara nzuri itakayo nifanya niendelee zaidi kiuchumi na kijamii

Naombeni mawazo yenu ni biashara gani nzuri naweza kuifanya na huu mtaji wa milion 10

Kusema kweli kwa upande wangu ninapenda sana kufanya biashara ya kilimo au kufungua kiwanda kidogo cha kusaga na kukoboa mahindi

Ila nadhani humu ndano kuna watu wenye uelewa mkubwa zaidi yangu na wanaweza kunipa mbinu mbalimbali na maarifa ya kukuza haka kamtajo kangu

Nawakaribisha kwa mawazo yenu.
endelea na hiyo biashara iliyokupatia hicho kias
 
mtafte Neema wa PPF
 
Habari za midaa hii wadau???

Mimi ni mwajiriwa sehem flani.Kijiajira changu kinauwezo kuniingizia kama 7M kwa mwaka nikishafanya matumizi yote na kila kitu.

Sasa nimejaribu kukaa na kufikiria naweza kufanya nini kwa 7M sipati jawabu kamili.Nikaona sina budi niwashirikishe wapendwa.

Baadhi ya vitu nilivyovitathimini
1:Nitafute sehemu nifungue mgahawa wa chakula mana ninaona mazingira yanaruhusu na kuna changamoto sana ya kupata chakula kizuri na kwa wakati

2:Ninunue gari yenye thamani ya pesa hio nitafute dereva mwaminifu nimkabidhi kwa mkataba afanye taxi ama ubber

3:Nijikite kwenye kilimo cha mpunga morogoro

4:Nilime ndimu za kumwagilia zanzibar(project kubwa pesa ni ndogo)

5:Nina kibanda cha room tatu kimefika kwenye lenta.Ama nikimalizie niachane na masuala ya biashara?
Naombeni ushauri tafadhali

NB:sifikirii kuacha kazi bali ni kuweka watu wa kusimamia mpaka mradi utakapokua stable.
 
Achana na hyoo kitu inaitwa uber n ujinga mtupu uber wanajiangalia wao tuuh awajali ata madereva wengi gar zinawashida labda uendeshe mwenyewe
 
Back
Top Bottom