Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa ushaurhio nyumba itoe,fanya biashara imalizie nyumba yako taratibu,sijui biashara gani kati ya hizo lakini...lol
DECI SIWAAMINIKanunue hisa za crdb ambazo zinauzwa at shs 150 per share. 10 m itakupatia shares 66,666. Hii maana yake nini. Kama ungepeleka DECI labda ungevuna 20m baada ya miezi 4? Sijui formula yao.
Lakini ukinunua shares hizi crdb zikipelekwa kwenye soko la hisa unaweza ukaziuza zote halafu ukavuna zaidi ya asimia 100. Na hii ni baada sana sana ya miezi miwili.
Kwa hiyo ukipata 20m zako iko mbaya gani/ U can decide kuziweka kwenye Fixed deposit ya hao crdb halafu ukaitumia hiyo kuombea mkopo. But this depends very much if u have a steady monthly income.
Huo ni ushauri wangu wa bure
Mkuu kuuza Mazao nje sio swala la kitoto unless unazungumzia nje kama Zanzbari au hapo Kenya.Wakuu Kama kichwa kinavyojieleza naomba kufahamishwa kwa mtaji wa milioni 6 naweza kufanya aina gani ya kilimo kitakachonipatia faida
Hata ikiwezekana kuuza mazao nchi za ulaya
Natanguliza shukrani zangu kwenu wanajukwaa
Asanteni
Utamtoa kivipi? As business kinacho angaliwa ni faida. Hata kama unalima mchicha mwisho wa siku ukiuza mchicha na Mapato yakawa makubwa kuliko matumizi basi ni faida na ni progress kubwa sana.Ufugaji samaki ndo utakutoa mkuu
Braza vp? Nishamwambia afuge samaki, akihitaji ufafanuzi zaidi wa namna gani itakuwa biashara endelevu yenye tija na faida kwake ntamwambia. Kusema itamtoa ni kweli kwani kila mtu anafanya biashara ili apate faida, au ulitaka nimwambieje kwa mfano!?Utamtoa kivipi? As business kinacho angaliwa ni faida. Hata kama unalima mchicha mwisho wa siku ukiuza mchicha na Mapato yakawa makubwa kuliko matumizi basi ni faida na ni progress kubwa sana.
Shida sisi tumejikita kwenye mentality za inalipa.
Hii neno inalipa ndo lina cost watu mwisho wa siku pale wanapo kuwa hawaamini macho na masikio yao
Nimekuelewa mkuu na ninaitaji kufanya ilo jambo kwa umakini kwani ninautayari ndiyo maana ninaitaji mawazo na ushauriMkuu kuuza Mazao nje sio swala la kitoto unless unazungumzia nje kama Zanzbari au hapo Kenya.
Export inahitaji uwekezaji mkubwa sana tena mno.
Tembelea watu/wakulima.wanao export ndo ujue kwamba swala la export linahitaji mtaji na muda.
Sasa usikute unazungumzia kilimo cha simu then unawaza ku export kwa kulima kwa simu.
MWISHO.
Kilimo ni Passion na sio show, usiingie kwenye kilimo kama sip Passion yako. Usiingie tu kwa sababu kuna washikaji wako wanalima sasa na wewe unataka ulime.
Lima kwa sababu unapenda sana kilimo
Mfano Kilimanjaro mkuuAina ya kilimo inategemea na mahali ulipo