Nunua kiwanja na ujenge au nyumba mbovu na ikarabati katika miji inayokua na iliyopa maeneo ya ya barabara kuu na wekeza gesti.
Inalipa sana. Assume umejenga gesti moja ya kiwango cha 4m,nauhakika itapata wateja wa uhakika na fedha yako itarudi baada ya muda mfupi.
Kwa miji midogo gesti ya 4m inaonekana ya 5star.
Ajenge guest house kwa Tsh. 4m? Hapa sijaelewa! Maana 4m ni hela ya kujenga vyumba viwili tu. Au unamaanisha ajenge mbavu za mbwa?
Wapi huko mzee, na mimi nikajenge guest ya 4Mil ??? Tanzania hii hii??
Mkuu, 1 & 2.......!
Mzee natengeneza kibooklet for this, so kwenye 2 naomba zungumzia sana mitiki......na acquaire eneo huko Moro for this!
Kifanikiwa tacomeback to you!
Kama uko Dar nenda Mkuranga kijiji cha Shungubweni au Funza au Mwalusembe utakuta ardhi haina mwenyewe. Inafikika mwaka mzima,tatizo wenyeji wavivu sana. Mwaka jana rafiki yangu alipanda mitiki 8000 kwa wiki tatu,wakati kule kwenu hiyo ni kazi ya siku nne kwa watu kumi.
Pale Mbagala kwa sasa bei ya mche wa mtiki ni Tsh 500/
Taratibu bro,
Malela upande upi,wa mto kogamimba au upi. Mi niko Yavayava natazamana na malela kwa ng`ambo. Eneo lile bomba vibaya mitiki inakubali,msimu huu tumepanda pale Mfurumwambao inakwenda vizuri sana.
Ajenge guest house kwa Tsh. 4m? Hapa sijaelewa! Maana 4m ni hela ya kujenga vyumba viwili tu. Au unamaanisha ajenge mbavu za mbwa?
...dah, na mimi nimebakia nimeshikilia kidevu kwa mshangao,...anyway...labda anakusudia nyumba ya miti na kukandika kwa udongo!
wazo zuri Ikena, sema utekelezaji wake ndio unanitia mashaka.
Kwa experiences zangu, Inawezekana kuwa na "gesti" za aina hiyo kwenye machimbo ya madini kama nilivyoona kule Tunduru miaka ya 80's! 🙂
Huna haja ya kuwa na Mashaka, maeneo mengi tu yanawezekana kwa hiyo hela.
Mfano viwanja vya kibaigwa-Dom au Chimala-Mbeya havizidi laki 1, tofali la kuchoma halizidi 100/=, sa hapo gesti ya maana kwa kijijini haijasimama apo?
Karibu sana,
Huyo jamaa katapeli wengi sana,wa kwako anaitwa nani,taja herufi moja tu ya kwanza na mkoa anaotoka. maana kuna mmoja kule kaliza watu kibao. Ongeza umbile lake na rangi ya ngozi.
Ukitaja hivyo vitu nitajua ndiye.
Kwa kuongezea,anakula fegi,ana katumbo kidogo. jina lake la kwanza linaanza na J.Kawabamiza watu ile mbaya.
Ok tuachane na huyu mbwiga. Nadhani tumekata issue vya kutosha,unaonaje tukakunja jamvi hili la mitiki na turudi kwenu kule IR nako tukate issue mpaka basi. Kwa kuwa unaweza kunipa e mail yako ili mambo mengine yaendelee huko,ni muhimu kuwapisha wengine pia.
Kama unataka tuendelee huko kwenu IR sema.
"
Ndugu yangu ni PM, biashara ziko nyingi sana,huo mtaji ni mkubwa sana. Barclays walisaidia watu sana na wana jina kwa sababu ya kutoa hioz million kumi kumi.
Katabazi.
Uzuri wa IR ni huu,ardhi ipo,mvua zinanyesha sana,barabara zipo,wahehe wanaogopa kuiba cha mtu,wahehe hawabagui mgeni. Wewe fanya kilichokupeleka kwa utaratibu basi,halafu unaambiwa karibu tena. Wasichotaka, usiwadharau tu basi. Kazi wanafanya kwa kiwango cha kuridhisha ila baadhi ya vijiji tutapeli tumeingia.
Milingoti hasa Saligna na grandis,ina kuwa haraka na ni multipurpose yaani waweza kuuza kama nguzo za umeme,au boriti za kawaida au ukachana mbao.Wewe ukiwa na milioni moja inatosha kununua eka kumi na kupanda miche 6000 ya milingoti/pines ya mbao,kisha unaondoka kurudi zako mjini. Unakwenda huko june kuweka fireline na kurudi tena mjini. Baada ya miaka mitatu unaprun miti yako. Kwa hiyo mwendo ni huo.
Mimi na vijana wenzangu tumeunganisha nguvu na kununua eneo kubwa,tunaotesha wenyewe miche ya pines/mlingoti na kupanda ktk plots zetu. Mwaka huu tumepanda miti laki tatu kwa pamoja tuko sita tu. Ila mpaka sasa vijana waliopanda miti eneo lile tuko 24 hivi. Msimu ujao tutakuwa kama 30 jumla.
Wenzetu walikwama msimu huu kwa sababu mbalimbali. Tuna jirani mmoja kutoka Kenya yeye peke yake amepanda milingoti milioni nne. Yeye ardhi kapewa na serikali yetu tukufu. Usijali ndo hali halisi. Mmalawi mmoja kajimegea eka 1000 na amepanda miti.