Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

[]LOAN AGAINST SALARY UKICHEZEA UMELIWA

Mkuu fafanua hapa, nipe ushauri
PESA IKIPOTEA UNAENDELEA KUKATWA WAKATI ILITAKIWA KUINGIZA ILI MSHAHARA UBAKI BILA KUTUMIKA ULE FAIDA ITOKANAYO NA UWEKEZAJI WA MKOPO.
 
Mkuu, amini ninakuambia hii biashara inalipa
Mkuu hii biashara mimi nimeifanya pale Swahili na Narung'ombe ndio maana nimeguna, ila huwezi jua mana hizi biashara kila mtu anafanya kwa njia anayoijua yeye
 
Biashara kwa mazingira ya sasa baada ya mwaka umefilisika.
 
LOAN AGAINST SALARY UKICHEZEA UMELIWA
ULIPASWA KUWA NA BUSINESS IDEA KABLA YA KUTAFUTA MTAJI.
NDOMANA WASHINDI WENGI WA:-
BBA
BSS
MISS TZ
SPORTPESA
TATUMZUKA
BIKO
N.K

HUISHIA KUSIKOJULIKANA BILA KUACHA ALAMA YOYOTE
Kama una hekima, hii ni point ya msingi sana katika maisha. Litazame katika jicho la tatu hutajuta maishani!!
 
Ushauri.
Kwa sababu wewe ni muajiriwa hivyo muda wa kukaa kwenye biashara yako sio mwingi/hakuna basi suluhu ya haraka kwangu ni uba/taxify. Ni rahisi usimamizi wake, hesabu inaeleweka ila kazi ni kumpata dereva mchangamfu.
Ukiwa na IST au corolla za cc isiyozidi 1500.
Pesa isiyo na usumbufu kwa week.
 
Kwa wiki kiasi gani
 
Back
Top Bottom