Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utalia ukienda na huo mzigo utakata fasta.Nenda shambani, Dar unatafuta nini?
Duka la nguo za wanawake pomoja na viatu au vipodozi linafaa mjini MwanzaWadau nipeni wazo la biashara nataka nimfungulie mke wangu kitega uchumi wa kiasi cha milioni 10.je nifanye biashara gani? Niko Mwanza mjini.Nawasilisha na nawashukuru sana
kama hajawahi kufanya biashara usimpe mtaji wote huo.....Wadau nipeni wazo la biashara nataka nimfungulie mke wangu kitega uchumi wa kiasi cha milioni 10.je nifanye biashara gani? Niko Mwanza mjini.Nawasilisha na nawashukuru sana
Pia anatakiwa atafiti, eneo la biashara husika baada ya kupata wazo kutoka humu kama ataridhika nalo, Je gharama ya kupanga eneo la biashara husika italipa kulingana na eneo na wateja wake? Vibali vya biashara husika, usije ukaanza kutengeneza Batiki , halafu huna kibali cha chemicals, huu mfano, maana yangu angalia aina ya biashara na vibali vinavyohitajika, leseni za biashara, pia gharama ya kodi baada ya kufanya utafiti au kuuliza tax experts.kama hajawahi kufanya biashara usimpe mtaji wote huo.....
aanze na max mil 1..... akishafanya kwa miez 3 uone ana uelekeo mzuri anaongea mil 2 zingine inakua 3...... akimaster hio kwa miez 6 (jumla miez 9 tayar kwenye biashara).....
baada ya mwaka na nusu ndio awe na mtaji wa 10m.......
Kanunue hisa za crdb ambazo zinauzwa at shs 150 per share. 10 m itakupatia shares 66,666. Hii maana yake nini. Kama ungepeleka DECI labda ungevuna 20m baada ya miezi 4? Sijui formula yao.
Lakini ukinunua shares hizi crdb zikipelekwa kwenye soko la hisa unaweza ukaziuza zote halafu ukavuna zaidi ya asimia 100. Na hii ni baada sana sana ya miezi miwili.
Kwa hiyo ukipata 20m zako iko mbaya gani/ U can decide kuziweka kwenye Fixed deposit ya hao crdb halafu ukaitumia hiyo kuombea mkopo. But this depends very much if u have a steady monthly income.
Huo ni ushauri wangu wa bure
Du 100% retur in investment in shares ,labda biko...jamaa katoa ushauri kwa hisia zake tuElimu yako juu ya investment analysis na security mkt ni kiasi gani mkuu?
Ulichoandika hapo ni tusi kwa tunaojua
Oa kama bado hujaoa na kama umeshaoa-ongeza wa pili au nyumba ndogo, life is too short, unaweza ukafa next month ukawaachia ugomvi ndugu zako kwa hizo hela!
nenoNikiwa kama mjumbe mwaminiwa nimesikitika sana kitendo cha mwenyekiti PIERRE kuitwa wa hovyo hovyo. Sisi ni moja kati ya watu tunaochangia pato la nchi. Wanywaji na walevi si watu wa hovyo ni watu wakuheshimiwa. Sema neno kwa pierre.
Sent using Jamii Forums mobile app
fanya biashara ya kutoa mikopo kwa watumishi wa serikali tu, nafanya kazi kwenye hizi taasisi,watu wametajirika kwelikweliHabari zenu wana jamvi.Poleni na majukumu!Naombeni msaada wa wazo la biashara,nina mtaji wa million 10.Isiwe ya pata potea,pia isiwe ya forex trader,qnet au network market yoyote.Nashukuru pia kama mtanisaidia na market(soko) la uhakika.Natanguliza shukrani za dhati na Mungu awabariki
Sent using Jamii Forums mobile app
Vp mkuu umeshapata wazo la biashara?Habari zenu wana jamvi.Poleni na majukumu!Naombeni msaada wa wazo la biashara,nina mtaji wa million 10.Isiwe ya pata potea,pia isiwe ya forex trader,qnet au network market yoyote.Nashukuru pia kama mtanisaidia na market(soko) la uhakika.Natanguliza shukrani za dhati na Mungu awabariki
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado..any help?Vp mkuu umeshapata wazo la biashara?