Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Wadau nipeni wazo la biashara nataka nimfungulie mke wangu kitega uchumi wa kiasi cha milioni 10.je nifanye biashara gani? Niko Mwanza mjini.Nawasilisha na nawashukuru sana
 
Wadau nipeni wazo la biashara nataka nimfungulie mke wangu kitega uchumi wa kiasi cha milioni 10.je nifanye biashara gani? Niko Mwanza mjini.Nawasilisha na nawashukuru sana
Duka la nguo za wanawake pomoja na viatu au vipodozi linafaa mjini Mwanza
 
Wadau nipeni wazo la biashara nataka nimfungulie mke wangu kitega uchumi wa kiasi cha milioni 10.je nifanye biashara gani? Niko Mwanza mjini.Nawasilisha na nawashukuru sana
kama hajawahi kufanya biashara usimpe mtaji wote huo.....

aanze na max mil 1..... akishafanya kwa miez 3 uone ana uelekeo mzuri anaongea mil 2 zingine inakua 3...... akimaster hio kwa miez 6 (jumla miez 9 tayar kwenye biashara).....


baada ya mwaka na nusu ndio awe na mtaji wa 10m.......
 
Pia anatakiwa atafiti, eneo la biashara husika baada ya kupata wazo kutoka humu kama ataridhika nalo, Je gharama ya kupanga eneo la biashara husika italipa kulingana na eneo na wateja wake? Vibali vya biashara husika, usije ukaanza kutengeneza Batiki , halafu huna kibali cha chemicals, huu mfano, maana yangu angalia aina ya biashara na vibali vinavyohitajika, leseni za biashara, pia gharama ya kodi baada ya kufanya utafiti au kuuliza tax experts.
Hili neno MTAJI/CAPITAL watu wanalichukulia ni neno tu au kitu rahisi sana. Na biashara sio kuuza tu, jifunze jinsi ya kuuza, nini unataka kuuza, wateja wako ni kinanani, na nini mahitaji yao, na vipato vyao. Usije ingia kichwa kichwa pesa isitoshe au ikapotea, tafakari.
 

Elimu yako juu ya investment analysis na security mkt ni kiasi gani mkuu?

Ulichoandika hapo ni tusi kwa tunaojua
 
Juzi tu alituona watu wa muhimu akatupiga na nusu bei jana wahovyo dah! Kama hajui sisi wanywaji hatujisumbui na vitoto vya serikali.

Sent from my Nokia 6.1 Plus using Tapatalk
 
Habari zenu wana jamvi.Poleni na majukumu!Naombeni msaada wa wazo la biashara,nina mtaji wa million 10.Isiwe ya pata potea,pia isiwe ya forex trader,qnet au network market yoyote.Nashukuru pia kama mtanisaidia na market(soko) la uhakika.Natanguliza shukrani za dhati na Mungu awabariki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
fanya biashara ya kutoa mikopo kwa watumishi wa serikali tu, nafanya kazi kwenye hizi taasisi,watu wametajirika kwelikweli
 
Vp mkuu umeshapata wazo la biashara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…