Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
Tena kwa pesa yake iyo primier betting wanampatia uwakala mkubwa kabisa.Professionally yeye ni MCHEZA KAMARI so angeboresha hio ya kamari asianze biashara moya! Kidding
Fanyia kazi hio ya mpunga au ya Bajaj ila nakushauri usimamizi uufanye wewe mwenyewe
Yeah swali langu ilikua, ni wapi kaipata hio 7m?? Kwanini asiendeleze huko alikoipatia?Tena kwa pesa yake iyo primier betting wanampatia uwakala mkubwa kabisa.
Aangalie location yenye watu wengi tu.
Kamali inalipa haswa ukiwa mchezeshaji na sio mchezaji.
Inawezekana, kauza kitu, ama kawazeshwa mahala, ama huwa anapiga dili ambazo ni illegal na sasa anataka kukaa kwenye mstari sahihi.Yeah swali langu ilikua, ni wapi kaipata hio 7m?? Kwanini asiendeleze huko alikoipatia?
Kamari sitaki hata kuiskia niliwahi kupata hasara ya 1 million bila kurudisha hata 100 kwahiyo siwez kuweka hela yangu hukoTena kwa pesa yake iyo primier betting wanampatia uwakala mkubwa kabisa.
Aangalie location yenye watu wengi tu.
Kamali inalipa haswa ukiwa mchezeshaji na sio mchezaji.
Sawa nitachukua muda kuzifikiria zaidi.Professionally yeye ni MCHEZA KAMARI so angeboresha hio ya kamari asianze biashara moya! Kidding
Fanyia kazi hio ya mpunga au ya Bajaj ila nakushauri usimamizi uufanye wewe mwenyewe
Kunishauri kuwa nikaifanye hiyo hiyo kaz iliyonipa 7 million huo siyo ushauri Kuna watu wanapata hela kupitia mishahara yao huko walipo ajiriwa na kuhitaji kujiajiri wenyewe ukiniambia nirudi huko huko unamaanisha nn ? Yan nibak hivhiv nimeajiriwa bila kujiongeza?Inawezekana, kauza kitu, ama kawazeshwa mahala, ama huwa anapiga dili ambazo ni illegal na sasa anataka kukaa kwenye mstari sahihi.
Ila kama alikuwa anafanya shughuli halali ambayo imeleteleza iyo 7million. Mimi pia ushauri wangu abaki uko uko
Nunua bajaji na uendeshe mwenyewe mkuu.Kunishauri kuwa nikaifanye hiyo hiyo kaz iliyonipa 7 million huo siyo ushauri Kuna watu wanapata hela kupitia mishahara yao huko walipo ajiriwa na kuhitaji kujiajiri wenyewe ukiniambia nirudi huko huko unamaanisha nn ? Yan nibak hivhiv nimeajiriwa bila kujiongeza?
GunFire
Labda afanye irrigation,huo msimu ulishapita kwa mvua,Nilitaka nimshauri hili moja kwa moja.
Kwa rate ya bajaji,kila trip utaingiza 2000,ili ufikishe 50,000,unahitaji trip 25 per day,Kama unapiga mwenyewe OPTION namba 1 ni nzuri na itakutoa haraka
utapiga kazi usiku na mchana uhakika wa kulaza hata 50 kwa siku unao
Narudia tena Option namba 1 unaimudu,haina changamoto kama hizo zingine.
Bajaji ni yake,hpangiwi na mtu ruti ya kwenda ataenda popote atakapoona pana helaKwa rate ya bajaji,kila trip utaingiza 2000,ili ufikishe 50,000,unahitaji trip 25 per day,
Ngumu sana,bajaji ziko nyingi na inatokea unagonjea mteja hata kwa saa nzima,mda wa kucover trip 25 unakua hautoshi labda afanye usiku na mchana
Hahaha mayooooMie sina la kukushauri..ila nakuomb niko chini nakuomba usiingie shambani
Ah bora kumwambia ukweli kakake...kulima?? Lol..unaweza ambulia vigunia 3Hahaha mayoooo
Kama kawaida yako.
Kwann mkuu au ulishajaribu ikauwa mtajiMie sina la kukushauri..ila nakuomb niko chini nakuomba usiingie shambani
Nakubaliana na wewe 100% mimi pia baada ya utafiti nimeamua ninunue bajaji na nipige kazi nwenyewe kuajiriwa kunachosha sana hasa sisi tulio ktk secta ya ndio mkuuKama unapiga mwenyewe OPTION namba 1 ni nzuri na itakutoa haraka
utapiga kazi usiku na mchana uhakika wa kulaza hata 50 kwa siku unao
Narudia tena Option namba 1 unaimudu,haina changamoto kama hizo zingine.
Kama kichwa 1000 sawa,huku nilipo starndard kichwa 500,,bajaji inabeba abiria 4,lakini abiria hawapatikani kwa mkupuo hivyo bajaji inasubiri abiria kujaa,na ziko foleni,ukijaza unaondoka,unacha zingine,ukirudi pia unasubiri kwa foleni,hiyo Ni kwa rockcityBajaji ni yake,hpangiwi na mtu ruti ya kwenda ataenda popote atakapoona pana hela
Hiyo uliyosema wewe ni wale wa bajaji waliopewa za hesabu,boss kamwambia usitoke
njia fulani wewe uende A to B na si vinginevyo,ila kwa huyu mwenye bajaji yake maamuzi
ni yake kichwani,na hiyo unayosema kila trip 2000 sijui ni wapi mimi nikiwa na bajaji napga
ruti za kichwa 1000 means 4000 per trip hizi 2000 mimi ntapga nikiwa narudi kutoka nlipoenda tu.
Kipindi hiki ambacho soko la adhabu duniani limeshuka, mpatie connection achakue gram kazaa aweke zake stok tu. Asubirie corona iishe.Ah bora kumwambia ukweli kakake...kulima?? Lol..unaweza ambulia vigunia 3
Kipindi hiki ambacho soko la adhabu duniani limeshuka, mpatie connection achakue gram kazaa aweke zake stok tu. Asubirie corona iishe.
Mimi apo ningefumba macho na kujizolea crusher langu tu.