Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Professionally yeye ni MCHEZA KAMARI so angeboresha hio ya kamari asianze biashara moya! Kidding

Fanyia kazi hio ya mpunga au ya Bajaj ila nakushauri usimamizi uufanye wewe mwenyewe
Tena kwa pesa yake iyo primier betting wanampatia uwakala mkubwa kabisa.

Aangalie location yenye watu wengi tu.
Kamali inalipa haswa ukiwa mchezeshaji na sio mchezaji.
 
Yeah swali langu ilikua, ni wapi kaipata hio 7m?? Kwanini asiendeleze huko alikoipatia?
Inawezekana, kauza kitu, ama kawazeshwa mahala, ama huwa anapiga dili ambazo ni illegal na sasa anataka kukaa kwenye mstari sahihi.

Ila kama alikuwa anafanya shughuli halali ambayo imeleteleza iyo 7million. Mimi pia ushauri wangu abaki uko uko
 
Tena kwa pesa yake iyo primier betting wanampatia uwakala mkubwa kabisa.

Aangalie location yenye watu wengi tu.
Kamali inalipa haswa ukiwa mchezeshaji na sio mchezaji.
Kamari sitaki hata kuiskia niliwahi kupata hasara ya 1 million bila kurudisha hata 100 kwahiyo siwez kuweka hela yangu huko

GunFire
 
Inawezekana, kauza kitu, ama kawazeshwa mahala, ama huwa anapiga dili ambazo ni illegal na sasa anataka kukaa kwenye mstari sahihi.

Ila kama alikuwa anafanya shughuli halali ambayo imeleteleza iyo 7million. Mimi pia ushauri wangu abaki uko uko
Kunishauri kuwa nikaifanye hiyo hiyo kaz iliyonipa 7 million huo siyo ushauri Kuna watu wanapata hela kupitia mishahara yao huko walipo ajiriwa na kuhitaji kujiajiri wenyewe ukiniambia nirudi huko huko unamaanisha nn ? Yan nibak hivhiv nimeajiriwa bila kujiongeza?

GunFire
 
Kama unapiga mwenyewe OPTION namba 1 ni nzuri na itakutoa haraka

utapiga kazi usiku na mchana uhakika wa kulaza hata 50 kwa siku unao

Narudia tena Option namba 1 unaimudu,haina changamoto kama hizo zingine.
 
Nunua bajaji na uendeshe mwenyewe mkuu.

Mauzo utakayopata kwenye bajaji uyahifadhi then msimu wa mpunga ukifika baadhi ya pesa ipeleke uko mkuu.
 
Kama unapiga mwenyewe OPTION namba 1 ni nzuri na itakutoa haraka

utapiga kazi usiku na mchana uhakika wa kulaza hata 50 kwa siku unao

Narudia tena Option namba 1 unaimudu,haina changamoto kama hizo zingine.
Kwa rate ya bajaji,kila trip utaingiza 2000,ili ufikishe 50,000,unahitaji trip 25 per day,
Ngumu sana,bajaji ziko nyingi na inatokea unagonjea mteja hata kwa saa nzima,mda wa kucover trip 25 unakua hautoshi labda afanye usiku na mchana
 
Bajaji ni yake,hpangiwi na mtu ruti ya kwenda ataenda popote atakapoona pana hela

Hiyo uliyosema wewe ni wale wa bajaji waliopewa za hesabu,boss kamwambia usitoke

njia fulani wewe uende A to B na si vinginevyo,ila kwa huyu mwenye bajaji yake maamuzi

ni yake kichwani,na hiyo unayosema kila trip 2000 sijui ni wapi mimi nikiwa na bajaji napga

ruti za kichwa 1000 means 4000 per trip hizi 2000 mimi ntapga nikiwa narudi kutoka nlipoenda tu.
 
Kama unapiga mwenyewe OPTION namba 1 ni nzuri na itakutoa haraka

utapiga kazi usiku na mchana uhakika wa kulaza hata 50 kwa siku unao

Narudia tena Option namba 1 unaimudu,haina changamoto kama hizo zingine.
Nakubaliana na wewe 100% mimi pia baada ya utafiti nimeamua ninunue bajaji na nipige kazi nwenyewe kuajiriwa kunachosha sana hasa sisi tulio ktk secta ya ndio mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bajaji ni yake,hpangiwi na mtu ruti ya kwenda ataenda popote atakapoona pana hela

Hiyo uliyosema wewe ni wale wa bajaji waliopewa za hesabu,boss kamwambia usitoke

njia fulani wewe uende A to B na si vinginevyo,ila kwa huyu mwenye bajaji yake maamuzi

ni yake kichwani,na hiyo unayosema kila trip 2000 sijui ni wapi mimi nikiwa na bajaji napga

ruti za kichwa 1000 means 4000 per trip hizi 2000 mimi ntapga nikiwa narudi kutoka nlipoenda tu.
Kama kichwa 1000 sawa,huku nilipo starndard kichwa 500,,bajaji inabeba abiria 4,lakini abiria hawapatikani kwa mkupuo hivyo bajaji inasubiri abiria kujaa,na ziko foleni,ukijaza unaondoka,unacha zingine,ukirudi pia unasubiri kwa foleni,hiyo Ni kwa rockcity
 
Kipindi hiki ambacho soko la adhabu duniani limeshuka, mpatie connection achakue gram kazaa aweke zake stok tu. Asubirie corona iishe.

Mimi apo ningefumba macho na kujizolea crusher langu tu.

Hii biashara kaka sio ya kupapalika sana ..huijui dhahabu uanze kuuza tu frm nowhere! Hapana .afanye mengibe tu
 
Back
Top Bottom