Kwa pesa hiyo kwanini asinunue gari ndogo used anafanya uber?Kama upo maeneo ya mijini, nunua bajaj piga kazi mwenyewe, pakibuma sehemu moja unahamia sehemu nyingine, ukiichoka biashara unaiuza hiyo Bajaj kwa bei yoyote ya soko. Risk ya hii biashara ni ndogo sana.
Sikushauri kabisa kufanya biashara ya duka la rejareja au kulima ikiwa hujawahi kabisa kuifanya hiyo biashara katika maisha yako kwa kutumia mtaji wako. Ni biashara nzuri kwa maneno ya kusikia kwa wengine au kupiga mahesabu kwenye makaratasi lakini kiuhalisia ni tofauti sana.
Huyo jamaa ameongea kwa kutumia commonsense ni kweli kwa macho ni ngumu kuona faida hiyo ya 50k/day ila kunakitu hajui kuwa kila biashara kunambinu,Bajaji ni yake,hpangiwi na mtu ruti ya kwenda ataenda popote atakapoona pana hela
Hiyo uliyosema wewe ni wale wa bajaji waliopewa za hesabu,boss kamwambia usitoke
njia fulani wewe uende A to B na si vinginevyo,ila kwa huyu mwenye bajaji yake maamuzi
ni yake kichwani,na hiyo unayosema kila trip 2000 sijui ni wapi mimi nikiwa na bajaji napga
ruti za kichwa 1000 means 4000 per trip hizi 2000 mimi ntapga nikiwa narudi kutoka nlipoenda tu.
Safi sana,hiii ndio maana halisi niliyokua nikiiongelea.Huyo jamaa ameongea kwa kutumia commonsense ni kweli kwa macho ni ngumu kuona faida hiyo ya 50k/day ila kunakitu hajui kuwa kila biashara kunambinu,
Kuna waendesha bajaji ni flexible yani unakuta mtu asubuhi saa 12 yupo lami anachukua vichwa vya kuwahisha mjini watu makazini mfano nilipo mm ni 2000/head na bajaji inachukua vichwa 3 so =6000 mpaka mjini asubuhi Hii wanasolve changamoto ya wafanyakazi kuwahi offisini kukwepa foleni na Usumbufu wa daladala.
Assume kwa asubuhi tu amepiga ruote tatu =18,000/=
2 to 10 Anaingia kwenye ruote za kawaida za 700/kichwa
Jione anahama route na kuwatoa watu mjini kwenda makwao ambayo ni 1000/kichwa
Hikifika saa 4 Usiku kwa huku kwetu watu wanahama route kwenda ubungo, Ili kuwatoa ubungo kwenda nje ya jiji kwa Wale wanatoka mkoa pale ubongo akuna means ya kupata daladala mpaka kutembea to mawasiliano ni usumbufu bora kuchukua bajaji 1000/kichwa
Bado kuna madereva wanawateja wao constant wale wakupiga simu, weekend kuna jamu kubwa ya kutoa na kupeleka watu sehemu za kupendeza na kwengineko.
Njoo tufanye biashara ya pamoja Mimi...nitaisimamia kwa 100% wewe unakuwa msimamizi Mkuu wa mahesabu na kujua faida ya biashara yetu...kila mwezi tunagawana faida tuliyopata...uhakika wa kupata 10% kama faida ya mtaji huo ninao faida hiyo ni kwa mwezi...kupitia hii biashara...1. Ninunue bajaji moja (mpya) na niipigie kazi mwenyewe bila kumpa kijana yoyote.
2. Nifungue biashara ya duka la rejareja nizichange hizo shilling 50 had mtaji ukue.
3. Niende kulima mpunga kukodi, kuandaa shamba heka 1 had kupanda nitenge laki 3 nisubiri muda wa mavuno nivune guni 9 had 10 katika kila heka nikilima heka 10 kwa million 3-4 kama hali ikiwa vizur nipate angalau makadirio ya gunia 100 niweke stock, maana kuna kipind mpunga unafika had elf 90 gunia moja, hapo nikipata hata million 8 kwenye 4 nitakayoichimbia siyo mbaya
Au nifanye biashara ipi nyingne naomba ushauri zaidi.
GunFire
Na kuna kinyume chake hapo.. lala tajiri amka maskini..😜njoo inbox nikupe mchong wa kulalla lala maskini na kuamka tajiri
Hivi bitcon si niliwahi kusikia fununu kuwa imekatazwa na serikali au ni vip?
Ni biashara ya kitaperi hiyo.Hivi bitcon si niliwahi kusikia fununu kuwa imekatazwa na serikali au ni vip?
Biashara ya inbox huwa ni utaperi.Na kuna kinyume chake hapo.. lala tajiri amka maskini..[emoji12]
Mkuu nipe mahitaji ya msingi ya kuanzisha Lab ikiwemo mashariti ya wizara.wekeza kwenye upande Wa afya, pharmacy au lab, hapa unaweka wasimamizi alafu kila mwezi unafanya hesabu. Upande wangu nina Nina uzoefu upande Wa lab.