Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Kama upo maeneo ya mijini, nunua bajaj piga kazi mwenyewe, pakibuma sehemu moja unahamia sehemu nyingine, ukiichoka biashara unaiuza hiyo Bajaj kwa bei yoyote ya soko. Risk ya hii biashara ni ndogo sana.

Sikushauri kabisa kufanya biashara ya duka la rejareja au kulima ikiwa hujawahi kabisa kuifanya hiyo biashara katika maisha yako kwa kutumia mtaji wako. Ni biashara nzuri kwa maneno ya kusikia kwa wengine au kupiga mahesabu kwenye makaratasi lakini kiuhalisia ni tofauti sana.
Kwa pesa hiyo kwanini asinunue gari ndogo used anafanya uber?
 
Kama wewe ni kijana na una nguvu zako, fanya namba 1. Nenda Kigamboni au Mbagala rangi 3, wewe kwa siku hukosi chini 40 if ukawa unaendesha mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bajaji ni yake,hpangiwi na mtu ruti ya kwenda ataenda popote atakapoona pana hela

Hiyo uliyosema wewe ni wale wa bajaji waliopewa za hesabu,boss kamwambia usitoke

njia fulani wewe uende A to B na si vinginevyo,ila kwa huyu mwenye bajaji yake maamuzi

ni yake kichwani,na hiyo unayosema kila trip 2000 sijui ni wapi mimi nikiwa na bajaji napga

ruti za kichwa 1000 means 4000 per trip hizi 2000 mimi ntapga nikiwa narudi kutoka nlipoenda tu.
Huyo jamaa ameongea kwa kutumia commonsense ni kweli kwa macho ni ngumu kuona faida hiyo ya 50k/day ila kunakitu hajui kuwa kila biashara kunambinu,
Kuna waendesha bajaji ni flexible yani unakuta mtu asubuhi saa 12 yupo lami anachukua vichwa vya kuwahisha mjini watu makazini mfano nilipo mm ni 2000/head na bajaji inachukua vichwa 3 so =6000 mpaka mjini asubuhi Hii wanasolve changamoto ya wafanyakazi kuwahi offisini kukwepa foleni na Usumbufu wa daladala.
Assume kwa asubuhi tu amepiga ruote tatu =18,000/=
2 to 10 Anaingia kwenye ruote za kawaida za 700/kichwa
Jione anahama route na kuwatoa watu mjini kwenda makwao ambayo ni 1000/kichwa
Hikifika saa 4 Usiku kwa huku kwetu watu wanahama route kwenda ubungo, Ili kuwatoa ubungo kwenda nje ya jiji kwa Wale wanatoka mkoa pale ubongo akuna means ya kupata daladala mpaka kutembea to mawasiliano ni usumbufu bora kuchukua bajaji 1000/kichwa
Bado kuna madereva wanawateja wao constant wale wakupiga simu, weekend kuna jamu kubwa ya kutoa na kupeleka watu sehemu za kupendeza na kwengineko.
 
Safi sana,hiii ndio maana halisi niliyokua nikiiongelea.
 
Kwa sasa anzisha biashara/kazi ambayo utakuwa na close monitoring. Hii mambo ya kuanzisha biashara unampa mtu utaumizwa tu.

Kama ni kilimo pia hivyo hivyo, ukijikita huko uwe unashinda shamba, mambo ya kupiga simu kuuliza utaibiwa hadi ushangae.

So first thing, biashara yoyote itakayotaka kuanzisha, iwe bajaj, kilimo au duka, hakikisha una monitor mwenyewe, siku hizi hatutumi, tunakuwa kwenye biashara zetu.
 
1. Ninunue bajaji moja (mpya) na niipigie kazi mwenyewe bila kumpa kijana yoyote.

2. Nifungue biashara ya duka la rejareja nizichange hizo shilling 50 had mtaji ukue.

3. Niende kulima mpunga kukodi, kuandaa shamba heka 1 had kupanda nitenge laki 3 nisubiri muda wa mavuno nivune guni 9 had 10 katika kila heka nikilima heka 10 kwa million 3-4 kama hali ikiwa vizur nipate angalau makadirio ya gunia 100 niweke stock, maana kuna kipind mpunga unafika had elf 90 gunia moja, hapo nikipata hata million 8 kwenye 4 nitakayoichimbia siyo mbaya

Au nifanye biashara ipi nyingne naomba ushauri zaidi.

GunFire
Njoo tufanye biashara ya pamoja Mimi...nitaisimamia kwa 100% wewe unakuwa msimamizi Mkuu wa mahesabu na kujua faida ya biashara yetu...kila mwezi tunagawana faida tuliyopata...uhakika wa kupata 10% kama faida ya mtaji huo ninao faida hiyo ni kwa mwezi...kupitia hii biashara...
Tutaweka utaratibu mzuri wa kisheria juu ya makubaliano yetu...na mikataba,mashahidi na wanasheria pia.
Million 7 inatupa faida ya 700,000/= (laki saba) kila mwezi hapo uhakika...ingawa najua kuna miezi itatoa zaidi...ila.haiwez kushuka.
Njoo pm kama utaona inafaa Mkuu.(SERIOUSLY) tujadili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waheshimiwa, nina mtaji wa milioni 5, nipo busy sana na sina muda wa kusimamia biashara, ni biashara gani itanifaa kwa kuniongezea kipato bila usimamizi wangu wa moja kwa moja??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16]kama huwezi kusimamia hela hiyo mwenyewe kaiweke hata utt ila biashara ya kusimamiwa na mtu utalia
 
Biashara yoyote then mweke mdada asimamie ni waaminifu kias tofaut na vijana wakiume
 
Forex ndo biashara pekee unaeza fanya kwa mtaji huo na kutengeneza faida nzuri sana.
 
Habari wadau,

Kama kichwa kinavyo sema hapo juu kua nina hela ila sijajua nizifanye biashara gani sababu kazi yangu ninayo fanya kwanza inanifanya kuwa bize sana.

Mtaji ni Milion 10 nataka mtu mwenye wazo la biashara la mtaji huo pia ambae atakua na muda wa kusimamia hiyo biashara.

Malipo au jinsi ya kulipana tutaongea.
 
Back
Top Bottom