Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Subiri waje jatu na mr kuku watakuambia jambo lao
 
Teh teh teh teh my charge is 5% of the your capital Package Business Plan, Feasibility Study, Marketing Plan etc.
Its a joke, do not rush think thoroughly kabla hujaamua kuwekeza, check with some NGOs zinazotoa ushauri wa kitaalam na fanya homework on larverages, risk etc. Cause 10 million is not enough capital for a real business, you will need more so do not jump to a big plan without a back up and do not invest the all amount. You need to Budget only for 60% something like 6 Million and the rest leave them in the bank as a backup capital incase of anything. Wala usizitumie kujenga heshima bar, walevi hawana heshima. Good Luck
Kama nakupataje
 
Mmeamkaje wakuu?

Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimebahatika kupata kamtaji kidogo Milioni 10. Naombeni mawazo yenu nifanye biashara gani ambayo inaweza kukuza mtaji wangu, umri wangu miaka 26 sina mke, karibu wakuu kwani ushauri wenu ndio mafanikio yangu.

Asante.
 
Mwanzo ulikua unafanya shughuli gani iliyokuwezesha kupata hiyo 10M

Kwa nn usendelee na hiyo shughuli yako uliyokua unafanya.

Kuhusu biashara Fanya kwanza utafiti taratibu kutokana na sehemu uliyo na kufikiria mwenyewe kua ni biashara gani hapa nikifanya Kutokana na eneo nililopo nitafanikiwa au itatoka kirahisi, usije na mawazo ya kufungua biashara na kumuachia mtu asimamie, ukiamua kufanya biashara ili ikulipe na iendelee Simamia mwenyewe, ukiamini mtu itakula kwako.

Subiri na mawazo ya wadau wengine mkuu

Pia kua makini kuna wengine humu watakua wanaitolea macho hiyo pesa uliyonayo
 
Mil10 sio kamtaji mkuu.

Ningekushauri ukiweza kama ukishapata wazo weka mil5 pembeni kabisa halafu jiambie una mil 5 ya mtaji. Then hiyo ndio ifanyie kazi. Ukiweza wekeza hata mil 3 tu kwanza.

Hiyo nyingineinaweza kukupanulia biashara ambapo tayari unaweza kuwa ushapata uzoefu nayo.
 
Milion 10 kamtaji?😩😩 wewe, Kma ulipta pesa za ulithi sawa ila kma kuna shughul imefanya upate hiyo pesa komaa nayo ila kama not basi fanya utafiti wa biashara unayopenda kufnya na usiwekeze zote hzo pesa weka hta mil 2 kwanza then upate mrejesho utakuaje.

Nb: ukitaka mfanykaz niko hpa nitafnya kwa moyo 💃💃💃.
 
Au pitia masoko makubwa au sehemu zenye mkusanyiko wa watu sijui utaratibu wa kupta nafasi ukoje serikalin ila waomba nafasi wajenga vyoo vya umma waweka wafnyakz usaf wa kiwango cha SGR nakwmbia utapig pesa (kuoga 500, ndogo na kubwa 300) n hyo tu yngu.

Nb: bado naomb nafas y ajira ukifanikisha.
 
Mwanzo ulikua unafanya shughuli gani iliyokuwezesha kupata hiyo 10M

Kwa nn usendelee na hiyo shughuli yako uliyokua unafanya.

Kuhusu biashara Fanya kwanza utafiti taratibu kutokana na sehemu uliyo na kufikiria mwenyewe kua ni biashara gani hapa nikifanya Kutokana na eneo nililopo nitafanikiwa au itatoka kirahisi, usije na mawazo ya kufungua biashara na kumuachia mtu asimamie, ukiamua kufanya biashara ili ikulipe na iendelee Simamia mwenyewe, ukiamini mtu itakula kwako.

Subiri na mawazo ya wadau wengine mkuu

Pia kua makini kuna wengine humu watakua wanaitolea macho hiyo pesa uliyonayo
Asante mkuu nimekukop
 
Mil10 sio kamtaji mkuu.

Ningekushauri ukiweza kama ukishapata wazo weka mil5 pembeni kabisa halafu jiambie una mil 5 ya mtaji. Then hiyo ndio ifanyie kazi. Ukiweza wekeza hata mil 3 tu kwanza.
Hiyo nyingineinaweza kukupanulia biashara ambapo tayari unaweza kuwa ushapata uzoefu nayo
Kama biashara hipi mkuu ambayo naweza kuanzia hata kwa m3
 
Back
Top Bottom