Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Naona ni 9.5% mkuu
View attachment 1521185
Sema bado ni pesa ndogo ukilinganisha na kuingiza kwenye biashara
Mkuu Mimi nilichati nao, niliambiwa hiyo rate ni kuanzia 700m and above. Na Nina chart ya rate from 500k to 199,999,999! Ambayo ni between 2%and 7% inclusive. Hiyo ya kwenye website yao nadhani kwa kiasi Fulani ni kwa ajili ya kuvutia watu wenye pesa nyingi...!
 
Wafanya biashara naomba mawazo yenu katika hili, kichwa cha bahari kinajitosheleza.
 
Auze wapi? Na kivipi?

Yaani afungue duka au sokoni au atembeze au ajumlishe? Mfafanulie kidogo
Aende Musoma. Achukue samaki wabichi aweke kwa friza auze Bei ya jumla na reja reja. Au Kama ni jank Hana familia ahamie Musoma awe anauza Bei ya jumla huko huko🤸🤸mradi apate room yenye Luku yake🤸🤸🤸! Yaan ajumue kwa wavuvi auze uwiii uwiiiiii... ! Within a 6mthns😷🙌
 
Aende Musoma. Achukue samaki wabichi aweke kwa friza auze Bei ya jumla na reja reja. Au Kama ni jank Hana familia ahamie Musoma awe anauza Bei ya jumla huko huko[emoji1732][emoji1732]mradi apate room yenye Luku yake[emoji1732][emoji1732][emoji1732]! Yaan ajumue kwa wavuvi auze uwiii uwiiiiii... ! Within a 6mthns[emoji40][emoji119]
Nalifanyia research pia
 
Aende Musoma. Achukue samaki wabichi aweke kwa friza auze Bei ya jumla na reja reja. Au Kama ni jank Hana familia ahamie Musoma awe anauza Bei ya jumla huko huko🤸🤸mradi apate room yenye Luku yake🤸🤸🤸! Yaan ajumue kwa wavuvi auze uwiii uwiiiiii... ! Within a 6mthns[emoji40][emoji119]
Musoma sehemu gani? Je lazima mtaji uwe million 10 kwenye Hiyo biashara
 
Hakuna biashara isiyolipa ndugu kila biashara ina faida haswa kwa mahesabu ya Kwenye madaftari, lakini uhalisi kuanzisha biashara mpya inataka hesabu nzuri Bila hivyo utakula za uso.kwanza eneo, pili muunekana wa duka, tatu ushapu wa muuzaji, ila ushauri wangu fanya kila nafsi inakusukuma kufanya ni vema zaidi
 
Fungua hata duka la spea za pikipiki na Mashine ndogo za kumwagilia bwashee mbona akili imelala sana

Tena kwa hiyo m10 utakuwa na kila spea kwenye duka lako kuanzia boxer toyo na pikipiki kubwa

Ukituliza ubongo huo mtaji n mkubwa sana na unabaki alafu ili unogeshe zaidi jaribu kwenda mikoani achana na dar hapo wajanja wengi
 
Back
Top Bottom