Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,858
- 14,733
Unaonaje tukifungua mgahawa wetu?Nenda na hiyo hiyo biashara ya chips.
Kama ni dar nipe tender ya kupika pilau na biriani na ijumaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaonaje tukifungua mgahawa wetu?Nenda na hiyo hiyo biashara ya chips.
Kama ni dar nipe tender ya kupika pilau na biriani na ijumaa.
Nzuri babaaaaa.Unaonaje tukifungua mgahawa wetu?
Itabidi tukae kikao cha kifamilia kulijadili hili swala na kuanza utekelezaji wake mara moja.Nzuri babaaaaa.
Tufanye hivyo.
Hili limepita baba.Itabidi tukae kikao cha kifamilia kulijadili hili swala na kuanza utekelezaji wake mara moja.
Hmmm wewe kwa siku elfu 60 umeshawahi fanya hii biashara? auToa 2.5m nunua boxer endesha mwenyewe kwa siku unapata 60-70k kwa mwezi unapata 1.8 or 2m ...hujaishi kifalme mpaka hapo?
Wajameni eeh,
Nimebahatika "kupata" mahala ka mtaji. Ni kiasi cha Shs. milioni kumi tu, (10,000,000/=) za Kitanzania.
Nipeni mapendekezo nizi invest wapi, kivipi na matarajio ya faida (i.e biashara gani inalipa (plus location), kwa muda gani, na SWOT analysis zake).
=======
Tsh 70,000/= karibu bossGunia unauzaje chief
Yes nimeifanya, Tena hiyo saa nyingine inazidiHmmm wewe kwa siku elfu 60 umeshawahi fanya hii biashara? au
Hiyo ni hela ya uber siku2
Hebu nifafanulie hili vizuri, website yao haifungukiNenda ukaziweke kwenye FIXED DEPOSIT ACCOUNT Bank ya NMB, utapata TShs 49,875/= kila mwezi kwa rate ya 9.5% per annum.
Angalia taarifa zao ziko hapa, pamoja na CALCULATOR yao, halafu jaza kiasi cha pesa unayotaka ili uweze kujua utapata kiasi gani
StackPath
Hmm! AiseeYes nimeifanya, Tena hiyo saa nyingine inazidi
Mmhh umewahi kuweka na kupewa faida kwa hiyo rate? Mimi huwa naona rates zao hazizidi 7% kwa mwaka.Nenda ukaziweke kwenye FIXED DEPOSIT ACCOUNT Bank ya NMB, utapata TShs 49,875/= kila mwezi kwa rate ya 9.5% per annum.
Angalia taarifa zao ziko hapa, pamoja na CALCULATOR yao, halafu jaza kiasi cha pesa unayotaka ili uweze kujua utapata kiasi gani
StackPath
Mkuu hebu naomba unieleweshe vizuri hapaMmhh umewahi kuweka na kupewa faida kwa hiyo rate? Mimi huwa naona rates zao hazizidi 7% kwa mwaka.
Toa 2.5m nunua boxer endesha mwenyewe kwa siku unapata 60-70k kwa mwezi unapata 1.8 or 2m ...hujaishi kifalme mpaka hapo?
Naam ndugu; nijuavyo Mimi ni kwamba, rates za NMB bank zinaanzia 2% hadi 7% kwa kiasi kisichozidi 199,999,999/=. Inategemeana na muda wa kuweka pesa zako. Na kiasi cha chini kabisa ni 500,000/=.Mkuu hebu naomba unieleweshe vizuri hapa
Asante sana mkuuNaam ndugu; nijuavyo Mimi ni kwamba, rates za NMB bank zinaanzia 2% hadi 7% kwa kiasi kisichozidi 199,999,999/=. Inategemeana na muda wa kuweka pesa zako. Na kiasi cha chini kabisa ni 500,000/=.
Mfano ukiweka 10m kwa miezi mitatu inakuwa kama ifuatavyo; 3/12 *2.75/100*10,000,000 =68,750.
Hivyo ukiweka 10m kwa muda wa miezi mitatu katika akaunti ya muda maalumu (fixed deposit account), utapata 68,750 kama faida. Naam, kwa kiasi kikubwa rates zinaanzia kati ya 2% hadi 7% kwa mwaka.
Ukiwa na 200m and above wanakuambia uwaone *treasury department*. Niliwahi kuuliza rate ya 9.5% inatumikaje, waliniambia ni kwa anayeweka kuanzia 700m na kuendelea. Kwa taarifa zaidi, unaweza kuwatembelea ili upate kujua kwa kina.
You get a rate as high as 12% wakiwa kwenye ofa. Hii ya 9.5% ni rate ya kawaida tu. Nenda kawaone ofisini especially pale Mlimani CityMmhh umewahi kuweka na kupewa faida kwa hiyo rate? Mimi huwa naona rates zao hazizidi 7% kwa mwaka.
Kwa more than 200 million, bellow that kawaida ni between 2% and 7% inclusive.You get a rate as high as 12% wakiwa kwenye ofa. Hii ya 9.5% ni rate ya kawaida tu. Nenda kawaone ofisini especially pale Mlimani City
Mmhh umewahi kuweka na kupewa faida kwa hiyo rate? Mimi huwa naona rates zao hazizidi 7% kwa mwaka.