Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Kama uko sehemu poa na una ujuzi wa fani yoyote fungua hardware ya vifaa vya fani uliyosomea. Kama ni mm ningefungua ya vifaa vya umeme sababu vinalipa sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaani hujui hata biashara unayotaka kufanya? du hii ni hatariHabari wana JF; nategemea kupata kiasi cha Tshs millioni 10 hivi karibuni. Ninachowaza ni kufanya biashara tu. Ni biashara nyingi nawaza kufanya lakini naombeni ushauri wenu katika hili. Mi ni kijana je nifanye biashara gani?
Nashukuru kwa ushauri wenu hasa don mangi, ki ukweli sijawahi kufanya biashara na ndio itakuwa mara yangu ya kwanza kufanya buashara.
Ninachotaka ni kitu gani nianze nacho, stationery sawa hata grocery sawa ila hamjafafanua kwa undani. More pls
kabla ya kuanza kushauri ungesema unamakaa mkoa fulan,wilaya fulan apo ingekuwa rais sababu biashara nyingi inategemea na maitaj husika ya sehemu unayoishi
You are welcome, for more details pm for an online appointment tunaweza tukaongea zaidi.
wekeza kwenye Ardhi.
Asante sana, je unapatikanaje, kiukweli nahitaji kitu cha kufanya ila ushauri ndio muhimu sana nisije ingia kichwakichwa
wekeza kwenye Ardhi.
kwani wewe una uzoefu wa shughuli gani,maana ukijidai kuwa specific kwenye kitu kimoja ambacho hujakizoea utashangaa hy milioni 10 imeyeyuka kama pande la barafu lililoanikwa juani!!!!!!!!!!!!!!!!! kama vp we piga biznez ya kichaga, fungua kibanda weka cement,nondo,mabati,nje weka sufuria la utumbo na jiko moja kwa ajili ya mahindi ya kuchoma, pia usisahau kutafuta hanger uweke walau nguo mbili tatu za mtumba, itakulip mkuu!!!!!
Fungua tigo pesa, Mpesa na airtel money. Fedha zako hazitapotea.