Mtandao wa barabara za lami alizojenga Mstaafu Kikwete katika kipindi chake cha uongozi

Mtandao wa barabara za lami alizojenga Mstaafu Kikwete katika kipindi chake cha uongozi

Siwezi kuelezea mambo yote aliyoyafanya mzee wetu mstaafu mh. sana Jakaya Mrisho Kikwete, leo napenda kuorodhesha baadhi ya barabara za lami alizojenga ktk kipindi cha uongozi wake. Nafanya hivi pengine kuwakumbubusha au kuwajulisha kwa wale ambao hawafahamu maana kuna sijui vitoto au watu wazima kwa makusudi wanamkejeli JK kana kwamba hakuna lolote ila Magufuli ndiyo kafanya mambo mengi. Watu wamejaa uwongo na upotoshaji wa hovyo. Kwa taarifa yenu Magufuli hakuna miradi ya maana alikamilisha, isipokuwa michahe sana ambayo baadhi nitaitaja vilevile.

Mzee JK alijenga mitandao ya barabara zifuatazo:

Mwanza-Geita-Bukoba

Nzega-Tabora

Manyoni-Itigi-Tabora

Dodoma-Iringa

Singida-Babati-Minjingu

Minjingu-Arusha

Arusha-Namanga

Babati-Kondoa-Dodoma

Songea-Namtumbo-Tunduru-Nanyumbu-Masasi

Tanga-Mkinga-Horohoro

Himo-Holili

Himo-Marangu-Rombo-Tarakea

Songea-Mbinga

Mbeya-Sumbawanga

Sumbawanga-Mpanda

Bagamoyo-Msata

Tinde-Isaka-Kahama-Kasamwa-Ngara

Mwanza-Musoma

Baadhi ya miradi aliyokamilisha JPM

Kijazi Interchange

Mhaville Flyover

Mbezi Louis Bus Terminal

Barabara ya Mwigumbi-Maswa-Bariadi

Stand kuu ya mabasi nanenane-Dodoma

Chato International Airport

Miradi mingine mingi aliiacha chini ya 50%, SGR Dar-Moro nafikiri kwenye 80%

Anatokea mtu anasema JK hajafanya kitu ila JPM, kiukweli JPM alikamilisha mambo machache sana, na hii inatokana na ukweli kuwa hakuwa na mipango mizuri, alikuwa anaanzisha miradi kwa pupa na kwa sifa ndiyo hiyo inamtesa mama mpaka sasa. Hata yeye nafikiri anashukuru Mungu amemficha asingeweza kuikamilisha, alishaharibu mahusiano ya kimataifa pesa angepata wapi? Wajinga humu watanitukana ila message sent and delivered na ndiyo ukweli ambao wenye akili wanaujua. Huyu Rais wetu wa sasa Dr. Samia Suluhu Hassan ana akili nyingi sana, ni mjanja sana ndiyo maana anafanya maajabu makubwa usiyoweza kuyaamini. Ndiyo Rais atakayekuja kuvunja rekodi zote zilizopita, tuombeni uzima tufike 2030 tutajionea. Mpaka sasa hivi ameshakaribia kuikamilisha miradi yote mikubwa sana ya kimkakati ya matrilioni ya pesa aliyoanzisha Magu kwa pupa ambayo yeye mwenyewe asingeweza kuikamilisha.

Kila eneo huyu rais ni wonders, mi siyo chawa wala siko kwenye mambo ya siasa hata sifahamiki kokote, ila nina viungo vya kuona na kusikia. Nimepanga siku nirushe baadhi ya mambo ambayo ameshayafanya ndani ya miaka hii miwili na ushee aliyohudumu.Kila mtu ataandika hadithi yake Mungu amlinde rais wetu atakuja kuandika hadithi ndefu isiyo kifani.
Huyo mwizi mkubwa mali za umma wala sio wa kusifia.

1. Akunywa gesi yote
2. Mambo ya Epa
3. Tegeta ..escrow
4. Kashfa aliyomtoa Lowasa kafara, mzee wa watu mgonjwa hadi leo.

5. Kujilimbikizia ardhi nchi nzima kwa kumtumia Riz1.

Jamaa ni bonge la jambazi, hata hii DPW yeye ndiye Injinia wa mchoro mzima, jamaa hataki kustaafu ksbisa..

Huyu kikizaliwa kizazi chenye akili makaburi ya ukoo wake na yeye yatapigwa kiberiti.
 
Unaijua Asilimia 97 wewe? Ingekuwa hivyo si Mwendazake angemalizia hiyo Asilimia 3 Ili Mikoa yote iwe imeunganishwa? Acha uongo basi.
Haya majambazi ya ccm mmekutana...hebu raruaneni mkichoka tutamalizia na rungu vichwani mwenu tu mrudishe namba🤣🤣🤣🤣
ChoiceVariable uta diskike post zangu hadi uache uchawa na nitakula bampa to bampa nawe hadi uache uchawa wa kijinga🤣🤣🤣
 
Huyo mwizi mkubwa mali za umma wala sio wa kusifia.

1. Akunywa gesi yote
2. Mambo ya Epa
3. Tegeta ..escrow
4. Kashfa aliyomtoa Lowasa kafara, mzee wa watu mgonjwa hadi leo.

5. Kujilimbikizia ardhi nchi nzima kwa kumtumia Riz1.

Jamaa ni bonge la jambazi, hata hii DPW yeye ndiye Injinia wa mchoro mzima, jamaa hataki kustaafu ksbisa..

Huyu kikizaliwa kizazi chenye akili makaburi ya ukoo wake na yeye yatapigwa kiberiti.
Ana ka msemo kake kwamba ukitaka kula lazima uliwe.
 
Himo marangu pia kadanganya hiyo barabara ina lami nadhani tangu enzi ya mkoloni
Manyoni- Itigi-Tabora, 2015 December,nimepita ikiwa ni vumbi barabara yote,..kama hili umedanganya,ninaamini zipo barabara nyingi umetaja kwa kudanganya maana lengo lako ni kumpaisha mtu flani dhidi ya mwingine..

Kwa kuwa unajua upo uwezekano wa sisi sote tulioko humu, hatukupita kwenye barabara zote ulizotaja hadi kufikia November 2015, unadhani utatudanganya kirahisi tu
 
Siwezi kuelezea mambo yote aliyoyafanya mzee wetu mstaafu mh. sana Jakaya Mrisho Kikwete, leo napenda kuorodhesha baadhi ya barabara za lami alizojenga ktk kipindi cha uongozi wake. Nafanya hivi pengine kuwakumbubusha au kuwajulisha kwa wale ambao hawafahamu maana kuna sijui vitoto au watu wazima kwa makusudi wanamkejeli Kikwete kana kwamba hakuna lolote ila Magufuli ndiyo kafanya mambo mengi.

Watu wamejaa uwongo na upotoshaji wa hovyo. Kwa taarifa yenu Magufuli hakuna miradi ya maana alikamilisha, isipokuwa michahe sana ambayo baadhi nitaitaja vilevile.

Mzee Kikwete alijenga mitandao ya barabara zifuatazo:

Mwanza-Geita-Bukoba

Nzega-Tabora

Manyoni-Itigi-Tabora

Dodoma-Iringa

Singida-Babati-Minjingu

Minjingu-Arusha

Arusha-Namanga

Babati-Kondoa-Dodoma

Songea-Namtumbo-Tunduru-Nanyumbu-Masasi

Tanga-Mkinga-Horohoro

Himo-Holili

Himo-Marangu-Rombo-Tarakea

Songea-Mbinga

Mbeya-Sumbawanga

Sumbawanga-Mpanda

Bagamoyo-Msata

Tinde-Isaka-Kahama-Kasamwa-Ngara

Mwanza-Musoma

Baadhi ya miradi aliyokamilisha JPM

Kijazi Interchange

Mhaville Flyover

Mbezi Louis Bus Terminal

Barabara ya Mwigumbi-Maswa-Bariadi

Stand kuu ya mabasi nanenane-Dodoma

Chato International Airport

Miradi mingine mingi aliiacha chini ya 50%, SGR Dar-Moro nafikiri kwenye 80%

Anatokea mtu anasema Kikwete hajafanya kitu ila Hayati Magufuli, kiukweli Magufuli alikamilisha mambo machache sana, na hii inatokana na ukweli kuwa hakuwa na mipango mizuri, alikuwa anaanzisha miradi kwa pupa na kwa sifa ndiyo hiyo inamtesa mama mpaka sasa.

Hata yeye nafikiri anashukuru Mungu amemficha asingeweza kuikamilisha, alishaharibu mahusiano ya kimataifa pesa angepata wapi? Wajinga humu watanitukana ila message sent and delivered na ndiyo ukweli ambao wenye akili wanaujua. Huyu Rais wetu wa sasa Dr. Samia Suluhu Hassan ana akili nyingi sana, ni mjanja sana ndiyo maana anafanya maajabu makubwa usiyoweza kuyaamini. Ndiyo Rais atakayekuja kuvunja rekodi zote zilizopita, tuombeni uzima tufike 2030 tutajionea.

Mpaka sasa hivi ameshakaribia kuikamilisha miradi yote mikubwa sana ya kimkakati ya matrilioni ya pesa aliyoanzisha Magufuli kwa pupa ambayo yeye mwenyewe asingeweza kuikamilisha.

Kila eneo huyu Rais ni wonders, mi siyo chawa wala siko kwenye mambo ya siasa hata sifahamiki kokote, ila nina viungo vya kuona na kusikia.

Nimepanga siku nirushe baadhi ya mambo ambayo ameshayafanya ndani ya miaka hii miwili na ushee aliyohudumu.

Kila mtu ataandika hadithi yake Mungu amlinde rais wetu atakuja kuandika hadithi ndefu isiyo kifani.
Mhavile Flyover ipo sehemu gani Mkuu?
Unamchukia JPM lakini hizo Barabara unazozitaja yeye ndiyo alisimamia kama Waziri wa Ujenzi,unapoongelea masuala ya miundombinu Tanzania, Magufuli ndiyo icon.
Samia kumsifia bado sana, ndiyo kwanza kashaharibu mambo na DP World yake!

Hutaki hamia Burundi!
 
Kuna watu hawajui kutenda haki.

Kosa moja wanachukia na mabaya yote.
JPM ana makosa yake lkn hayaondoi ukweli kuwa ana mazuri yake
 
Siwezi kuelezea mambo yote aliyoyafanya mzee wetu mstaafu mh. sana Jakaya Mrisho Kikwete, leo napenda kuorodhesha baadhi ya barabara za lami alizojenga ktk kipindi cha uongozi wake. Nafanya hivi pengine kuwakumbubusha au kuwajulisha kwa wale ambao hawafahamu maana kuna sijui vitoto au watu wazima kwa makusudi wanamkejeli Kikwete kana kwamba hakuna lolote ila Magufuli ndiyo kafanya mambo mengi.

Watu wamejaa uwongo na upotoshaji wa hovyo. Kwa taarifa yenu Magufuli hakuna miradi ya maana alikamilisha, isipokuwa michahe sana ambayo baadhi nitaitaja vilevile.

Mzee Kikwete alijenga mitandao ya barabara zifuatazo:

Mwanza-Geita-Bukoba

Nzega-Tabora

Manyoni-Itigi-Tabora

Dodoma-Iringa

Singida-Babati-Minjingu

Minjingu-Arusha

Arusha-Namanga

Babati-Kondoa-Dodoma

Songea-Namtumbo-Tunduru-Nanyumbu-Masasi

Tanga-Mkinga-Horohoro

Himo-Holili

Himo-Marangu-Rombo-Tarakea

Songea-Mbinga

Mbeya-Sumbawanga

Sumbawanga-Mpanda

Bagamoyo-Msata

Tinde-Isaka-Kahama-Kasamwa-Ngara

Mwanza-Musoma

Baadhi ya miradi aliyokamilisha JPM

Kijazi Interchange

Mhaville Flyover

Mbezi Louis Bus Terminal

Barabara ya Mwigumbi-Maswa-Bariadi

Stand kuu ya mabasi nanenane-Dodoma

Chato International Airport

Miradi mingine mingi aliiacha chini ya 50%, SGR Dar-Moro nafikiri kwenye 80%

Anatokea mtu anasema Kikwete hajafanya kitu ila Hayati Magufuli, kiukweli Magufuli alikamilisha mambo machache sana, na hii inatokana na ukweli kuwa hakuwa na mipango mizuri, alikuwa anaanzisha miradi kwa pupa na kwa sifa ndiyo hiyo inamtesa mama mpaka sasa.

Hata yeye nafikiri anashukuru Mungu amemficha asingeweza kuikamilisha, alishaharibu mahusiano ya kimataifa pesa angepata wapi? Wajinga humu watanitukana ila message sent and delivered na ndiyo ukweli ambao wenye akili wanaujua. Huyu Rais wetu wa sasa Dr. Samia Suluhu Hassan ana akili nyingi sana, ni mjanja sana ndiyo maana anafanya maajabu makubwa usiyoweza kuyaamini. Ndiyo Rais atakayekuja kuvunja rekodi zote zilizopita, tuombeni uzima tufike 2030 tutajionea.

Mpaka sasa hivi ameshakaribia kuikamilisha miradi yote mikubwa sana ya kimkakati ya matrilioni ya pesa aliyoanzisha Magufuli kwa pupa ambayo yeye mwenyewe asingeweza kuikamilisha.

Kila eneo huyu Rais ni wonders, mi siyo chawa wala siko kwenye mambo ya siasa hata sifahamiki kokote, ila nina viungo vya kuona na kusikia.

Nimepanga siku nirushe baadhi ya mambo ambayo ameshayafanya ndani ya miaka hii miwili na ushee aliyohudumu.

Kila mtu ataandika hadithi yake Mungu amlinde rais wetu atakuja kuandika hadithi ndefu isiyo kifani.
We mpuuzi unaleta ushindani usiokua na maana kujifanya Magu hakufanya chochote.

Njombe-Makete ile lami umeijenga wewe????

Barabara alizojenga unaemshabikia hazijamaliza hata miaka kumi zimefumuliwa zinajengwa upya.
Ref, Dodoma-Iringa
 
Mzee wa 10%
 
Back
Top Bottom