ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
I mean wa awamu ya 5,miradi aliyojenga ikakamilika Kwa miaka 5 Iko wapi?Oh sorry,kumbe ni mwingine.Nilidhani ni huyu wa awamu ya tano.Sina jibu sababu simfahamu 'huyo mwingine'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I mean wa awamu ya 5,miradi aliyojenga ikakamilika Kwa miaka 5 Iko wapi?Oh sorry,kumbe ni mwingine.Nilidhani ni huyu wa awamu ya tano.Sina jibu sababu simfahamu 'huyo mwingine'
BRT plans zake zipo tangu Mkapa akiwa Rais!Ubunifu upi Mzee? Plans zikianza awamu ya JK na ndio alianzisha BRT.
Tzn sio Dar pekee
Hivi kwa mfano ukiambiwa uoneshe hiyo ardhi nchi nzima aliyojilimbikizia kikwete kwa kumtumia ridhiwani unaweza kuonesha?Huyo mwizi mkubwa mali za umma wala sio wa kusifia.
1. Akunywa gesi yote
2. Mambo ya Epa
3. Tegeta ..escrow
4. Kashfa aliyomtoa Lowasa kafara, mzee wa watu mgonjwa hadi leo.
5. Kujilimbikizia ardhi nchi nzima kwa kumtumia Riz1.
Jamaa ni bonge la jambazi, hata hii DPW yeye ndiye Injinia wa mchoro mzima, jamaa hataki kustaafu ksbisa..
Huyu kikizaliwa kizazi chenye akili makaburi ya ukoo wake na yeye yatapigwa kiberiti.
Kumbe unafikiri ni uzushi?Hivi kwa mfano ukiambiwa uoneshe hiyo ardhi nchi nzima aliyojilimbikizia kikwete kwa kumtumia ridhiwani unaweza kuonesha?
Nimekwambia ukiambiwa uoneshe sasa hivi hiyo ardhi nchi nzima ya kikwete aliyoipata kupitia kwa mwanae ridhiwani utaonesha?Kumbe unafikiri ni uzushi?
100%Nimekwambia ukiambiwa uoneshe sasa hivi hiyo ardhi nchi nzima ya kikwete aliyoipata kupitia kwa mwanae ridhiwani utaonesha?
Utaka kulinganisha na km zako 51 unaziwika nazo humu?Ungeleta Kwa figures inge make sense zaidi ila zoote hazikuzidi.km 6,000 Kwa miaka 10 japo yeye ndio alijenga nyingi zaidi ya Marais waliopita.
Nina km nyingi sana za kulinganishaUtaka kulinganisha na km zako 51 unaziwika nazo humu?
Hahahahaha ......uitoe wapi?Nina km nyingi sana za kulinganisha
Unataka nianze kuweka?Hahahahaha ......uitoe wapi?
Nizifabyie nini kwa mfano?Unataka nianze kuweka?