Kwa hiyo kama waziri ndo mjenzi,awamu ya 5 waziri wa ujenzi alikuwa magufuli?kwo hakufanya kitu ktk awamu yake sasaUsijisahaulishe kuwa waziri wa Ujenzi alikuwa Magufuli ambaye alikuwa anaenda kudai bajeti yake kibabe mkimkatalia anasogeza miwani yake kwa kidole kimoja akaunti inasoma.
Sasa twambie hiyo kasi imeishia wapi kwa waziri Mbarawa
Alijengea mdomoni sana kuliko uhalisia.Jk na Samia hawaongei sana,ni vitendo tuKumbuka JPM ni miaka mitano 5! Marudio ya barabara ya Isaka - Rusumo ni enzi ya Magufuli! Ukiweka miradi yote JPM amewapiga bao la uhakika hao matutusa!
Sukuma gang mna tatizo kwenye ubongo sio Bure.Wakati wa JK mnakataa kazi za JK eti Kwa kuwa magu alikuwa waziri wa ujenzi.Kwa hiyo magu ktk awamu yake yeye pia alikuwa waziri wa ujenzi?Hii wizara ilikuwa haiendeshwi na raisi la sivyo Kawambwa angeweza kuonyesha ufanisi kama Magufuli.
Kama siyo ubunifu wa JPM kuifungua Dar kwa fly overs na barabara mbili sasa hivi Posta - Tegeta, posta-Kimara tungekuwa tunaitembea kwa siku nzima.
Wewe ndo muongo.Barabara ilianza kujengwa na JK,Magu akaja kuimaliziaManyoni- Itigi-Tabora, 2015 December,nimepita ikiwa ni vumbi barabara yote,..kama hili umedanganya,ninaamini zipo barabara nyingi umetaja kwa kudanganya maana lengo lako ni kumpaisha mtu flani dhidi ya mwingine..
Kwa kuwa unajua upo uwezekano wa sisi sote tulioko humu, hatukupita kwenye barabara zote ulizotaja hadi kufikia November 2015, unadhani utatudanganya kirahisi tu
Fuatilia vzr ww.IPTL ulikuwa ya mkapa.Sema JK alikuwa mwingi wa busara.Aliyabeba kama yake.Huyo magu wenu kama alikuwa msafi Kwa nini alimfukuza kazi CAG ASAD?Kwa nini hakuuweka wazi mkatava wa ununuzi wa ndege, ujenzi wa SGR?Acheni chuki za kijinga.Kwa Sasa JK is the best.Labda aje kufunikwa na SamiaHuyo mwizi mkubwa mali za umma wala sio wa kusifia.
1. Akunywa gesi yote
2. Mambo ya Epa
3. Tegeta ..escrow
4. Kashfa aliyomtoa Lowasa kafara, mzee wa watu mgonjwa hadi leo.
5. Kujilimbikizia ardhi nchi nzima kwa kumtumia Riz1.
Jamaa ni bonge la jambazi, hata hii DPW yeye ndiye Injinia wa mchoro mzima, jamaa hataki kustaafu ksbisa..
Huyu kikizaliwa kizazi chenye akili makaburi ya ukoo wake na yeye yatapigwa kiberiti.
Kwa nini magu alimfukuza kazi CAG ASAD?Alitukula sana kama nchi mbwa yule
Kwa hyo magu ktkt awamu yake yeye pia alikuwa waziri wa ujenzi?Mhavile Flyover ipo sehemu gani Mkuu?
Unamchukia JPM lakini hizo Barabara unazozitaja yeye ndiyo alisimamia kama Waziri wa Ujenzi,unapoongelea masuala ya miundombinu Tanzania, Magufuli ndiyo icon.
Samia kumsifia bado sana, ndiyo kwanza kashaharibu mambo na DP World yake!
Hutaki hamia Burundi!
Kwo ulitaka barabara idumu milele wkt inatumika co?Mbona ya magu(usagara-kisesa) imeshaanza kuharibika?We mpuuzi unaleta ushindani usiokua na maana kujifanya Magu hakufanya chochote.
Njombe-Makete ile lami umeijenga wewe????
Barabara alizojenga unaemshabikia hazijamaliza hata miaka kumi zimefumuliwa zinajengwa upya.
Ref, Dodoma-Iringa
Upo sawa kabisa, mpaka boss wake aliwahi mwambia apunguze ukali naye akajibu mie nilikuja bungeni kama mbunge, uwaziri si kitu hata ukichukuliwa.Usijisahaulishe kuwa waziri wa Ujenzi alikuwa Magufuli ambaye alikuwa anaenda kudai bajeti yake kibabe mkimkatalia anasogeza miwani yake kwa kidole kimoja akaunti inasoma.
Sasa twambie hiyo kasi imeishia wapi kwa waziri Mbarawa
Kama mto wami daa ulikuwa mfupa wa nguruwe ule ila JPM kaumalizaKumbuka JPM ni miaka mitano 5! Marudio ya barabara ya Isaka - Rusumo ni enzi ya Magufuli! Ukiweka miradi yote JPM amewapiga bao la uhakika hao matutusa!
Ila mazuri na mabaya yote yanazidiana, kutofautiana.Nchi hii kila rais ana ubaya wake na uzuri wake pia
Ile barabara ya mbagala kuu, kama jina lake utazani imejengwa enzi za mkoloniWe mpuuzi unaleta ushindani usiokua na maana kujifanya Magu hakufanya chochote.
Njombe-Makete ile lami umeijenga wewe????
Barabara alizojenga unaemshabikia hazijamaliza hata miaka kumi zimefumuliwa zinajengwa upya.
Ref, Dodoma-Iringa
Na itigi - manyoni , tabora -/katavi nayo atwambie imeisha liniHimo marangu pia kadanganya hiyo barabara ina lami nadhani tangu enzi ya mkoloni
Umesahau kwa barabara za Kikwete
Hizi ndio akili za walimu. kazi ipoFuatilia vzr ww.IPTL ulikuwa ya mkapa.Sema JK alikuwa mwingi wa busara.Aliyabeba kama yake.Huyo magu wenu kama alikuwa msafi Kwa nini alimfukuza kazi CAG ASAD?Kwa nini hakuuweka wazi mkatava wa ununuzi wa ndege, ujenzi wa SGR?Acheni chuki za kijinga.Kwa Sasa JK is the best.Labda aje kufunikwa na Samia
The most corrupt President of all times, hajatokea (pamoja na drug trafficking) JK.Siwezi kuelezea mambo yote aliyoyafanya mzee wetu mstaafu mh. sana Jakaya Mrisho Kikwete, leo napenda kuorodhesha baadhi ya barabara za lami alizojenga ktk kipindi cha uongozi wake. Nafanya hivi pengine kuwakumbubusha au kuwajulisha kwa wale ambao hawafahamu maana kuna sijui vitoto au watu wazima kwa makusudi wanamkejeli Kikwete kana kwamba hakuna lolote ila Magufuli ndiyo kafanya mambo mengi.
Watu wamejaa uwongo na upotoshaji wa hovyo. Kwa taarifa yenu Magufuli hakuna miradi ya maana alikamilisha, isipokuwa michahe sana ambayo baadhi nitaitaja vilevile.
Mzee Kikwete alijenga mitandao ya barabara zifuatazo:
Mwanza-Geita-Bukoba
Nzega-Tabora
Manyoni-Itigi-Tabora
Dodoma-Iringa
Singida-Babati-Minjingu
Minjingu-Arusha
Arusha-Namanga
Babati-Kondoa-Dodoma
Songea-Namtumbo-Tunduru-Nanyumbu-Masasi
Tanga-Mkinga-Horohoro
Himo-Holili
Himo-Marangu-Rombo-Tarakea
Songea-Mbinga
Mbeya-Sumbawanga
Sumbawanga-Mpanda
Bagamoyo-Msata
Tinde-Isaka-Kahama-Kasamwa-Ngara
Mwanza-Musoma
Baadhi ya miradi aliyokamilisha JPM
Kijazi Interchange
Mhaville Flyover
Mbezi Louis Bus Terminal
Barabara ya Mwigumbi-Maswa-Bariadi
Stand kuu ya mabasi nanenane-Dodoma
Chato International Airport
Miradi mingine mingi aliiacha chini ya 50%, SGR Dar-Moro nafikiri kwenye 80%
Anatokea mtu anasema Kikwete hajafanya kitu ila Hayati Magufuli, kiukweli Magufuli alikamilisha mambo machache sana, na hii inatokana na ukweli kuwa hakuwa na mipango mizuri, alikuwa anaanzisha miradi kwa pupa na kwa sifa ndiyo hiyo inamtesa mama mpaka sasa.
Hata yeye nafikiri anashukuru Mungu amemficha asingeweza kuikamilisha, alishaharibu mahusiano ya kimataifa pesa angepata wapi? Wajinga humu watanitukana ila message sent and delivered na ndiyo ukweli ambao wenye akili wanaujua. Huyu Rais wetu wa sasa Dr. Samia Suluhu Hassan ana akili nyingi sana, ni mjanja sana ndiyo maana anafanya maajabu makubwa usiyoweza kuyaamini. Ndiyo Rais atakayekuja kuvunja rekodi zote zilizopita, tuombeni uzima tufike 2030 tutajionea.
Mpaka sasa hivi ameshakaribia kuikamilisha miradi yote mikubwa sana ya kimkakati ya matrilioni ya pesa aliyoanzisha Magufuli kwa pupa ambayo yeye mwenyewe asingeweza kuikamilisha.
Kila eneo huyu Rais ni wonders, mi siyo chawa wala siko kwenye mambo ya siasa hata sifahamiki kokote, ila nina viungo vya kuona na kusikia.
Nimepanga siku nirushe baadhi ya mambo ambayo ameshayafanya ndani ya miaka hii miwili na ushee aliyohudumu.
Kila mtu ataandika hadithi yake Mungu amlinde rais wetu atakuja kuandika hadithi ndefu isiyo kifani.
JPM alikuwa na mambo makubwa ndiyo maana mnaona kama kwenye barabara hajafanya kitu! Hebu ona, daraja la tanzanite, daraja la Busisi, Meli 2 za ziwa Victoria (1 ukarabati 1 mpyaaaaa), Meli mpya ziwa Nyasa, utitiri wa ndege za ATCL, Bwawa la umeme, SGR, Flyover kila mahali, Bomba la mafuta kutoka Uganda n.k. Hakika JPM asilinganishwe na takataka!Alijengea mdomoni sana kuliko uhalisia.Jk na Samia hawaongei sana,ni vitendo tu