Mtandao wa barabara za lami alizojenga Mstaafu Kikwete katika kipindi chake cha uongozi

Hivi kwa mfano ukiambiwa uoneshe hiyo ardhi nchi nzima aliyojilimbikizia kikwete kwa kumtumia ridhiwani unaweza kuonesha?
 
Choma cha nkola hadi Ziba hadi Mwisi sijui serikali gani itazijenga hizo barabara.
 
Piga Ua, huwezi taja Barabara yeyote ile bila ya Kumtaja Magufuli.
 
Mi barabara ya mji mpya Morogoro,lami ni kama ukoko tu,imeharibika vibaya na manispaa hawafanyi maintenance.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…