Mtandao wa tiGO wabadili jina, sasa kuitwa YAS


Wabadili gharama na siyo Jina, hatuna shida na Jina tunashida na ngarama kubwa za bando na vifurushi.
Wamiliki hawana shida na gharama ila wana shida na jina
 
Ina maana yupo mshkaji ambaye amekuja na mkwanja mkubwa kuwashinda wanahisa wa awali(tiGO)? Au ni corporate amalgamation?
 
Ndicho kilochotokea
Mmiliki wa awali MILICOM aliita brand yake Tigo
Kwahiyo huyu mpya AXIAN ameamua aje na jina lake hawezi tumia brand name ya mmiliki wa awali
Sisi watupunguzie gharama za bundle tu
 
Kwahiyo zile tabia za kupita mgongoni wameacha au wamehama nazo?
 
Y😳😳😳😳😳😳😳A😳😳😳😳😳😳😳S
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…