ngoja nikale yas tu maana yanga hatoboi hapa
Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia leo. Mabadiliko haya yametangazwa mchana huu jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na watu mbalimbali na kuongozwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa.
Taarifa zaidi zitaendelea kufuatia.
Mambo ni mengi muda ni mchache.Tigo sasa ni Yas na Tigo Pesa ni Mixx by Yas. Hakutakuwa na mabadiliko yeyote kwenye huduma au bidhaa zetu. Tafadhali wasiliana nasi ukiwa na swali lolote
😂😂😂😂Wanajaribu kama wataweza kumkimbia Lissu.
Wameona tigo haitoshi wameamua kujiita NYASH
Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia leo. Mabadiliko haya yametangazwa mchana huu jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na watu mbalimbali na kuongozwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa.
Taarifa zaidi zitaendelea kufuatia.
Mmmh kirefu Cha yas ni nn

Ndo lengo lao Hilo. Lakini Lissu n mwanasheria tunaemwaminiWanajaribu kama wataweza kumkimbia Lissu.
Tuluzoea Mobitel mwanzoni hadi simu zilikuwa zikiitwa mobitel.tigo ilikua imeshazoeleka vichwani mwa wanyonge walio wengi itawachukua muda sana kwenda kwenye YAS
Uamuzi mgumu lakini imebidi, Tigo kwa sasa ni tusi, huwezi kumuomba mtu tigo, ni aibu na imekuwa tusi. Ni kawaida kabisa kama jina la kampuni likitumiwa vibaya basi kampuni inaliacha.
Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia leo. Mabadiliko haya yametangazwa mchana huu jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na watu mbalimbali na kuongozwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa.
Taarifa zaidi zitaendelea kufuatia.
ukiona hivyo kile kipindi cha msamaha wa kodi walichopewa kimeisha hivyo wangepaswa waanze kulipa kodi kamili..lakini wawekazaji wakwepa kodi watatangaza kupata hasara au kufilisika ili wauze kampuni(watainunua wao wenyewe) kupitia mgongo mwingine au watabadili jina alafu lile jina jipya linapokea upya ule msamaha wa kodi...na hii michezo hata kwenye madini ipo mfano barrick gold baadae ikabadili jina na sasa inaitwa ACACIA yote ni kufaidi ule msamaha wa kodi wakiwa wanapata faida nono..tatizo sheria zetu zimewapa miaka kibao za msamaha wa kodi ilitakiwa msamaha uwe wa mwaka mmoja au miwili tu ila huku shithole coutries watu wanavuna mali bure wanabadili jina kisha wanaendelea walipoishia ilitakiwa wakibadili jina ndo waondoke moja kwa moja sio kupewa nafasi tena.!Kwamba Kampuni ni mpya haijatengeneza faida isilipe kodi kwa miaka kadhaa najiuliza mbona kampuni hapa Tz zinabadili sana majina???
Ila kwakweliNgoja nimpgie simu Lissu 😆😆
Ukitaka kununua huduma yeyote inabidi uzungumze kwa sauti ya chini sana.How mkuu
Yeah, jina jipya literally ni kama kampuni mpya, sasa ile ya Kibongobongo ya 5yrs grace period wanayowapa wawekezaji kwenye kodi eti kuvutia investors hapo ndipo mahala pake.Niliwahi kusikia kwamba makampuni kubadili majina mara nyingi kunatokana na ukwepaji wa kodi, hivi ni kweli?