Mtandao wa tiGO wabadili jina, sasa kuitwa YAS

Mshitakiwa hata akibadilisha jina haiondoi uwezekano wa kuendekea na mashitaka! Kesi itaendelea tu.
 
wamebadili logo
 
Kodi kodi hakuna namna
 
Umeamua kumpiga chura teke, tusibiri press release nyingine. Soon.
 
Wameona waache kutumia umaarufu wa "Tigo ya asili" maana ushindani ulikua mkali
 
Mobitel ๐Ÿ‘‰๐Ÿพ Buzz ๐Ÿ‘‰๐Ÿพ tiGo ๐Ÿ‘‰๐Ÿพ Yas ๐Ÿ‘‰๐ŸพNyashi
 
Yeah, jina jipya literally ni kama kampuni mpya, sasa ile ya Kibongobongo ya 5yrs grace period wanayowapa wawekezaji kwenye kodi eti kuvutia investors hapo ndipo mahala pake.
Chenga flani ya kimtindo.
hata mm nashangaa kwanini serikali isipunguze iwe mwaka mmoja au miwili tu au waifute kabisa hiyo sheria na pengine kampuni inayofanya mchezo huu ifukuzwe nchini na kutaifisha mali zake zote zikiwemo akaunti zao za benki ili serikali nayo isitoke patupu maana kampuni imechuma faida kubwa kipindi cha grace period..ila ukimya wa serikali kuhusu hii sheria ya kuruhusu kuibiwa kihalali sio bure kuna watu wetu wanakula pamoja nao.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ