Mpemba Mimi
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 1,656
- 2,483
Mkuu - Kuna watu wanajua kuigiza hii dunia....shauri yako...hata mkae mpaka 60 - unakimbiwa tu...Tofauti yangu na wewe ni experience, usiharakishe, utakuja nielewa, mwanamke ni wa Muhimu, hasa unayekuwa naye mda mrefu, ups and down ans create bond
Huwezi oa mke ukina wa 30 mkavumiliana mpaka mkafika 45 au 50 akakimbia, hao ni mahawara wenu.
Kabisa mkuu talaka zimekusanya wote vijana mpaka wazee.Nenda mahakamani ukaone kama talaka zinachagua umri
JD nahc anapiga kiaina cio mlevi.JD ndo alikua akimuombea Prof j aache pombe, kumbe naye hupiga!?
Ni OG Kutoka Moshi? Hawachanganyi na Gongo?Kwa wale wanaotaka kuacha pombe
Kuna mbege tamu sana kibamba
Mbege siyo pombe? Acha utaniKwa wale wanaotaka kuacha pombe
Kuna mbege tamu sana kibamba
Grandmaster anataka kufanya yake nini.Mtangazaji nguli wa show za jioni kutoka Kituo cha Redio cha Clouds FM, Gadner G. Habash amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kutokana na kusumbuliwa na tatizo la Pressure (Shinikizo la Damu).
Kwa mujibu wa taarifa aliyoitoa mwenyewe kupitia mahojiano yake na kipindi cha XXL, Kaptein amesema alianza kujisikia vibaya wiki chache zilizopita baadaye akapelekwa Hospitali ambako aligundulika kuwa na shida ambayo ilisababisha alazwe JKCI.
Hazina madhara tuhamie huko? 😂😂😂Kwa wale wanaotaka kuacha pombe
Kuna mbege tamu sana kibamba
Hivi siyo huyu ndiyo alikuwa anapewa somo na Prof Janabi siku moja kuwa apunguze weight kwenye mahojiano!!!Kwa mujibu wa taarifa aliyoitoa mwenyewe kupitia mahojiano yake na kipindi cha XXL, Kaptein amesema alianza kujisikia vibaya wiki chache zilizopita baadaye akapelekwa Hospitali ambako aligundulika kuwa na shida ambayo ilisababisha alazwe JKCI.
Gadner mbona hana weight kubwa.Hivi siyo huyu ndiyo alikuwa anapewa somo na Prof Janabi siku moja kuwa apunguze weight kwenye mahojiano!!!
Dah alaf kweli watumiaji wengi wa ARV wakiendekeza pombe huwa zinawachakaza haraka sana bad enough wengi wao huwa wanatelekeza kumeza dawa ndo hapo huwa wanaugua hadi ukienda kumsalimia unamsahau unakuta kabadilika kwa ukali wa maradhi.Vijana acheni pombe kama mnatumia ARV
Una point ya msingi sana hata kama baadhi ya wale kataa ndoa watakupinga hadi lolote likiwafika.Ana mke? Mda huu uitaji wa mke unaongezeka?!?! Wazee wa kataa ndoa kuna kuumwa eti.
Yaanu unaoa ili ukiumwa mkeo akutibu, au! Ndoa ni upumbavu.Ana mke? Mda huu uitaji wa mke unaongezeka?!?! Wazee wa kataa ndoa kuna kuumwa eti.
Unamaanisha gridi
Enzi zake alikuwa anampelekeaga Jide moto wa hatarii na kumkojoza balaa.Mungu amfanyie wepesi Ila maji apunguze I wish to him quickly recovery .
Tuache kunywa beer? AiseeAlikua anaona sifa kunywa beer.
Kila siku Ndugu Janabi anasema tuache pombe, yeye ndio kwanza anaona sifa kunywa pombe.
Hapo tatizo litakua moyo.
Nadhani akitoka atajua matango, parachichi, mchicha na tembele linapouzwa.