Pre GE2025 Mtangazaji wa ITV na Tundu Lissu hakika mmetutendea haki sisi watanzania kwenye kipindi cha dakika 45

Pre GE2025 Mtangazaji wa ITV na Tundu Lissu hakika mmetutendea haki sisi watanzania kwenye kipindi cha dakika 45

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

View: https://www.youtube.com/live/ZL2V3hUw5Hg?si=ucxs0XUFwPi8526W

Ushauri kwa Tundu Lissu, Kama yupo serious anataka urais, asisubirie kuzunguka kwenye majukwa na vyombo vya habari. Na yeye awe updated kwenye mitandao ya kijamii awe anatoa clip fupi za dakika 1 mpaka 2 anapost mitandao yote ili kuwafikia vijana. Hasa Instagram, Youtube, Facebook, TikTok. Awalenge zaidi vijana hasa hali ngumu ya kiuchumi na ukosefu wa ajira. Awe anapost kila siku consistently bila kuchoka.

Erythrocyte

Yeye mwenyewe yuko humu amekupata
 
Mimi namkubali sana Odemba wa Star TV mwamba anajua kuhoji maswali yenye mashiko hakupi mda wa kudanganya akikuona unaokoteza majibu anakuchapa lingine.
 
Yeye mwenyewe yuko humu amekupata
Sawa aanze hata sasa hivi kupost clip ya dakika 1 mpaka 2. Inatosha kupeleka moto 🤣🤣. Na wasanii wakitoa challenge za nyimbo mpya na yeye acheze, na masuala ya mpira na yeye ashiriki hata kutoa comment mtandaoni.
 
Nime kuelewa mkuu. Ninakubaliana na wewe moja kwa moja.
Sasa katika hali ya namna hiyo, sijui kifanyike nini ili hiki "kizazi" kiamke?
labda tumuulize jenerali ulimwengu na mh.warioba maana wamewaamsha sana hamuamki wala kutikisika, eti sasa hivi ndio mnaulizana tena nini kifanyike 🤣

nyie vijana nyie dah 🤣
 
View: https://www.youtube.com/live/ZL2V3hUw5Hg?si=ucxs0XUFwPi8526W

Ushauri kwa Tundu Lissu, Kama yupo serious anataka urais, asisubirie kuzunguka kwenye majukwaa na vyombo vya habari. Na yeye awe updated kwenye mitandao ya kijamii awe anatoa clip fupi za dakika 1 mpaka 2 anapost mitandao yote ili kuwafikia vijana. Hasa Instagram, Whatsapp channel, Telegram Channel, Youtube Channel, Facebook, TikTok. Awalenge zaidi vijana hasa hali ngumu ya kiuchumi na ukosefu wa ajira. Awe anapost kila siku consistently bila kuchoka.

Erythrocyte

bila michango kwanza sijui kama inawezekana 🐒
 
labda tumuulize jenerali ulimwengu na mh.warioba maana wamewaamsha sana hamuamki wala kutikisika, eti sasa hivi ndio mnaulizana tena nini kifanyike 🤣

nyie vijana nyie dah 🤣
Ukiendelea hivi, hakika tutajadili haya maswala ya nchi yetu vizuri.
Kumbe wakati mwingine akili inakurudia na kuwa sawasawa?
Basi nakuomba tafadhali baki hivyo hivyo, tutajadili kwa utulivu kabisa hatma ya nchi yetu hii.

Lakini ukweli unabaki pale pale. Samia ndiye atakuwa kiongozi wa mwisho wa CCM kama tunavyo ijuwa.
Tutaacha kumulaumu yeye, kwani amekuja kumalizia kazi tu iliyo anzishwa na watangulizi wenzake, ukiondoa waasisi wake.

"Nini kifanyike"? Unadhani hilo ni swali tena wakati huu. Mbona utakuwa umechelewa sana kuuliza swali hilo.
 
Mama SSH amepoa sana, yaani inakuaje huyu chiba anaipata nafasi ya kwenda kituo Cha tv kumtukana yeye na familia yake?!!!!! Dah, angekuwepo yule mwamba huyo mtangazaji hata kutokea asingetokea........angesingizia anaumwa malaria na kwamba amelazwa hospitali.

Nje ya mada;
Hivi Kuna ITV na vipindi flani flani hivi vya urahisi?!!!! Awamu ya 3 (Mkapa), walikuwa karibu kweli na serikali......ilikuwa inatukuzwa na hata hakukuwa na uhamasishaji wa uhuru wa kuongea kwa wapinzani kama Lipumba na wanaharakati wengine.
Awamu ya 4 (Kikwete), ilikuwa mwiba sana kwa serikali.....maadui wa Kikwete walialikwa hapo kama wote Hadi kufikia muda kuongezwa na kina Masako!!!!
Awamu ya 5 (Magufuli), ilikuwa pamoja mno na serikali na hakuna mwanaharakati yeyote uchwara aliyepewa airtime.
Awamu ya 6 (Samia) mambo tayari........ishaanza kujitenga na serikali. Kina Tundu wanaulizwa mpaka maswali yanayotweza utu kabisa wa Raisi. Tutawashuhudia wengi zaidi, bila shaka!!!

Ni coincidence hii au?!!!!!!!!!!
Tuendelee kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuendelea kulibariki taifa hili kwa kutupa mh.Rais SSH....

Mh.Rais ni mwanadiplomasia mbobevu ambaye anaiheshimu katiba inayosema kutakuwa na vyama vingi na vyenye sauti YA UKOSOAJI.....

Mh.Rais amepata kufanya kazi kwenye ASASI ZA KIRAIA(AZAKI)...hii nayo inamuongezea wigo mpana wa UVUMILIVU NA UTHUBUTU WA KUSIKIA MAONI KINZANI....

Kwa wenye macho ya rohoni na wasio na "mbango" ,kwao Chifu Hangaya ni zaidi ya mng'ao wa jina hilo [emoji7]

#Nchi Kwanza[emoji7]
#Heshima yetu waafrika ni kwa VIONGOZI WETU ,WAKUBWA ZETU NA WAZAZI WETU[emoji7]
 
Wengi wetu tunasahau haraka sana....

Mh.Rais alishawahi kupata kusema "nikosoeni mtakavyo" ila MSITUKANE...kwani kwa waafrika matusi si uungwana na heshima ni jambo la kiutu na la lazima[emoji7]

#Nchi Kwanza[emoji7]

#Mh.Rais SSH raia nambari moja[emoji7]
 
View: https://www.youtube.com/live/ZL2V3hUw5Hg?si=ucxs0XUFwPi8526W

Ushauri kwa Tundu Lissu, Kama yupo serious anataka urais, asisubirie kuzunguka kwenye majukwaa na vyombo vya habari. Na yeye awe updated kwenye mitandao ya kijamii awe anatoa clip fupi za dakika 1 mpaka 2 anapost mitandao yote ili kuwafikia vijana. Hasa Instagram (Instagram reels, instalive), Whatsapp channel, Telegram Channel, Youtube Channel, YouTube shorts, Facebook, TikTok, TikTok video, TikTok live. Awalenge zaidi vijana hasa hali ngumu ya kiuchumi na ukosefu wa ajira. Awe anapost kila siku consistently bila kuchoka.

Erythrocyte

Hiyo kazi si lazima aifanye mwenyewe. Mnaoguswa ndo fanyeni hiyo kazi
 
Tuache ushabiki pembeni, mtangazaji wa ITV alijipanga vyema sana katika kufyatua maswali ya msingi yenye kumuweka kwenye kona Lissu, na Lissu aliweza vizuri sana kukabiliana nayo moja kwa moja bila kukwepa, kuzunguka mbuyu au kulipua lipua.

Hakika ulikuwa mjadala mzuri wenye kusisimua na kuvutia kuufuatilia. Kwa uchache, hoja hizi ziligusiwa.

1. Rushwa ndani ya Chadema

2. Fununu za Lissu kutaka kuondoka CHADEMA ili kuanzisha chama kipya.

3. Lissu kuletewa hongo na mtoto wa rais

4. Misuguano ya viongozi ndani ya Chadema

5. Ruzuku kwa vyama vya siasa

6. Utata wa kisheria katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

7. Dhana ya Chadema kuleta uchochezi.

8. Demokrasia ndani ya vyama vya siasa.

9. Mpango wa Lissu kutaka kugombea urais.

10. Taswira nzima ya uendeshaji wa chaguzi za serikali za mitaa.
Na wewe pia umetutendea haki kuleta Summary hapa.
 
Mama SSH amepoa sana, yaani inakuaje huyu chiba anaipata nafasi ya kwenda kituo Cha tv kumtukana yeye na familia yake?!!!!! Dah, angekuwepo yule mwamba huyo mtangazaji hata kutokea asingetokea........angesingizia anaumwa malaria na kwamba amelazwa hospitali.

Nje ya mada;
Hivi Kuna ITV na vipindi flani flani hivi vya urahisi?!!!! Awamu ya 3 (Mkapa), walikuwa karibu kweli na serikali......ilikuwa inatukuzwa na hata hakukuwa na uhamasishaji wa uhuru wa kuongea kwa wapinzani kama Lipumba na wanaharakati wengine.
Awamu ya 4 (Kikwete), ilikuwa mwiba sana kwa serikali.....maadui wa Kikwete walialikwa hapo kama wote Hadi kufikia muda kuongezwa na kina Masako!!!!
Awamu ya 5 (Magufuli), ilikuwa pamoja mno na serikali na hakuna mwanaharakati yeyote uchwara aliyepewa airtime.
Awamu ya 6 (Samia) mambo tayari........ishaanza kujitenga na serikali. Kina Tundu wanaulizwa mpaka maswali yanayotweza utu kabisa wa Raisi. Tutawashuhudia wengi zaidi, bila shaka!!!

Ni coincidence hii au?!!!!!!!!!!
Peleka utumwa wako huko Porini.

This is civilized World. Huo Udikteta umewafikisha wapi?

Aliyeukazania umeona amepata faida gani?

Usitake kumhusisha Rais Dr Samia na mambo yenu ya kizamani.
 
Back
Top Bottom