Sasa kujulikana,maelfu ya watu kutoa pole ndo kunamfufua au ndo kunabadilisha nini ?.We are all the same when it comes do death maarufu or not,tajiri or maskini.acha kumuita mwenzio “mavi” kama wewe ni mstaarabu futa hii comment, bora hata yeye amefariki anajulikana Tanzania nzima na ma elfu ya watu wametoa pole,wewe unayemuita Mavi hata humu JF tu hujulikani na ukifa utazikwa bila kufunguliwa uzi humu,be humbe mkuu acha hizo kejeli zako na matusi
yani huyo marehemu hujamfikia kabisa hata robo,mwenzio alikuwa na mishahara miwili serikalini
Umeongea point sana. Kweli kabisa kutangaza, kuimba ,kuigiza kila binadamu anaweza.1. Mavi sija m-refer Elisha, namsema yule aliyesema kuwa pengo halitazibika. Sina mjadala na Elisha! He was agentle guy, sina tatizo naye. Ila hilo la pengo halitazibika nalikataa.
2. Kwani wewe unanijua? Unajua mimi nina mishahara mingapi? hata ikiwa 1,000,000 so what? of what use to me?
3. Kila mmoja anaweza kutangaza, I guess, kila mmoja akipenda! Ndiyo maana unaona fani imevamiwa... lkn siyo kila mmoja anaweza kuwa daktari.
Wengi hawajui kuwa huyo kijana ni mjukuu wa Askofu Mwakagali.
Ni mtoto wa wapakwa mafuta.
Sasa kujulikana,maelfu ya watu kutoa pole ndo kunamfufua au ndo kunabadilisha nini ?.We are all the same when it comes do death maarufu or not,tajiri or maskini.
Sijamsema Elisha. Sina tatizo na Elisha (RIP) Ninachokikataa ni kuwa pengo halitazibika. kama pengo la Albert Einstein lilizibika na theoretical physics inaendelea, sembuse hawa!Sasa kujulikana,maelfu ya watu kutoa pole ndo kunamfufua au ndo kunabadilisha nini ?.We are all the same when it comes do death maarufu or not,tajiri or maskini.
1. Mavi sija m-refer Elisha, namsema yule aliyesema kuwa pengo halitazibika. Sina mjadala na Elisha! He was agentle guy, sina tatizo naye. Ila hilo la pengo halitazibika nalikataa.
2. Kwani wewe unanijua? Unajua mimi nina mishahara mingapi? hata ikiwa 1,000,000 so what? of what use to me?
3. Kila mmoja anaweza kutangaza, I guess, kila mmoja akipenda! Ndiyo maana unaona fani imevamiwa... lkn siyo kila mmoja anaweza kuwa daktari.
Marehemu hasemwi vibaya, ndio utamaduni wetuooh,powa mkuu nimekuelewa basi nilidhani unamuongelea jamaa.pamoja sana mkuu
Marehemu hasemwi vibaya, ndio utamaduni wetu
So, you had a crush on him? Am very sorry to hear that.Daah crush is gone
Alikuwa anaripoti vizuri habari za CHATO na LUMUMBA Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponiMkurugenzi Mkuu Dkt. Ayub Rioba anasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi mwenzetu, Mwandishi wa Habari Elisha Elia, kilichotokea tarehe 24/10/2020 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, alikokuwa amelazwa kwa matibabu.
Taarifa zaidi zitatolewa.
Rufus kusoma tena post yangu,,sina la kukujibu zaidiNi maajabu sana unachoongea
Kuchukulia kifo ni personal preference ya mtu
Wewe kifo kinakupa deep emotional feelings,kuna wengine kama mimi na huyo bwana uliemjibu hatuna feelings zozote
Sasa upo hapa kuelekeza wanadamu wengine how to feel kuhusu kifo?
Wewe njia yako ndio sahihi na ni lazima dunia nzima iifate?
Hebu usipangie wanadamu wengine mambo tafadhali....unatafuta ugomvi na vita na hawa wanadamu
Waache huru wa-feel wanavyojisikia,wewe unafeel hivyo ni kivyako...
Hebu tuheshimiane na personal freedoms za watu..hajakutukana,hajavamia your freedoms,na yeye muache tafadhali!
Mwaka huu wajitathmnini maana wametembea wa kutoshaKwan mahaba ya mbogamboga ndio yamemuua? Ebu acha itikadi zako za kisiasa kwenye mambo kama haya, ata wanao msifisia lisu nao wanakufa. Kumbuka alikuwa anafanya kaz na umoja wa mataifa pia kwaiyo nao utasema ni wana ccm?
SawaKuwa chama fulani ni maamuzi binafsi tu hayo,,,kama wewe vile kuwa upande wa Lisu,wako millions upande wa Lisu na millions upande wa ccm lakini hatubaguani mtaani,,unaweza wewe kuwa mangi na una duka lako na bendera inapepea dukani kwako lakin watu wa ccm,,nccr,,chauma,cuf etc wanakuja pata mahitaji yao dukani kwako kwa amani kbs,,,hata kama unawafahamu ni wanachama kindakindaki kwao huko waliko....kifupi hatujafikia sehemu ya kubaguana namna hiyo,,,watu bado wanathaminiana na kuheshimiana mtaani vizuri kbs
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] I wish apite hapa aone hii comment yakoKuna pini moja tbc ipo white hv halafu tall kiaina huwa ionaga ikitangaza aridhio sjui ndio taarifa ya habari ya sku hizi jina nimelisahau
Dah ile manzi ikikata moto nitagalagala kama jiwe anavyo galagala kuomba kura.
Samahani mkuu, hata ka picha ka mdogo wake japo nje ya mada, maana hata sir tunataka kumliwaza mkuu.Pole nyingi sana kwa mdogo wake Irene na familia kwa ujumla nikifanikiwa nitaenda kumuaga kwa mara ya mwisho.
nenda msibani utamuonaSamahani mkuu, hata ka picha ka mdogo wake japo nje ya mada, maana hata sir tunataka kumliwaza mkuu.
Wenda wanapeana zam maana kuna mwaka ITV nayo ilitembelewa na misiba kama TBC ilivyo sasa hvMwaka huu wajitathmnini maana wametembea wa kutosha