Kuwa chama fulani ni maamuzi binafsi tu hayo,,,kama wewe vile kuwa upande wa Lisu,wako millions upande wa Lisu na millions upande wa ccm lakini hatubaguani mtaani,,unaweza wewe kuwa mangi na una duka lako na bendera inapepea dukani kwako lakin watu wa ccm,,nccr,,chauma,cuf etc wanakuja pata mahitaji yao dukani kwako kwa amani kbs,,,hata kama unawafahamu ni wanachama kindakindaki kwao huko waliko....kifupi hatujafikia sehemu ya kubaguana namna hiyo,,,watu bado wanathaminiana na kuheshimiana mtaani vizuri kbs