TANZIA Mtangazaji wa TBC Taifa, Elisha Elia Mwakalinga afariki Dunia

TANZIA Mtangazaji wa TBC Taifa, Elisha Elia Mwakalinga afariki Dunia

acha kumuita mwenzio “mavi” kama wewe ni mstaarabu futa hii comment, bora hata yeye amefariki anajulikana Tanzania nzima na ma elfu ya watu wametoa pole,wewe unayemuita Mavi hata humu JF tu hujulikani na ukifa utazikwa bila kufunguliwa uzi humu,be humbe mkuu acha hizo kejeli zako na matusi
yani huyo marehemu hujamfikia kabisa hata robo,mwenzio alikuwa na mishahara miwili serikalini
Sasa kujulikana,maelfu ya watu kutoa pole ndo kunamfufua au ndo kunabadilisha nini ?.We are all the same when it comes do death maarufu or not,tajiri or maskini.
 
1. Mavi sija m-refer Elisha, namsema yule aliyesema kuwa pengo halitazibika. Sina mjadala na Elisha! He was agentle guy, sina tatizo naye. Ila hilo la pengo halitazibika nalikataa.
2. Kwani wewe unanijua? Unajua mimi nina mishahara mingapi? hata ikiwa 1,000,000 so what? of what use to me?
3. Kila mmoja anaweza kutangaza, I guess, kila mmoja akipenda! Ndiyo maana unaona fani imevamiwa... lkn siyo kila mmoja anaweza kuwa daktari.
Umeongea point sana. Kweli kabisa kutangaza, kuimba ,kuigiza kila binadamu anaweza.
 
Sasa kujulikana,maelfu ya watu kutoa pole ndo kunamfufua au ndo kunabadilisha nini ?.We are all the same when it comes do death maarufu or not,tajiri or maskini.

mkuu,you got me wrong, nilikuwa najaribu kumkosoa huyo jamaa aliyemuita mwenzie “mavi” which means hana thamani yoyote,jaribu kusoma tena utanielewa
 
Sasa kujulikana,maelfu ya watu kutoa pole ndo kunamfufua au ndo kunabadilisha nini ?.We are all the same when it comes do death maarufu or not,tajiri or maskini.
Sijamsema Elisha. Sina tatizo na Elisha (RIP) Ninachokikataa ni kuwa pengo halitazibika. kama pengo la Albert Einstein lilizibika na theoretical physics inaendelea, sembuse hawa!
 
1. Mavi sija m-refer Elisha, namsema yule aliyesema kuwa pengo halitazibika. Sina mjadala na Elisha! He was agentle guy, sina tatizo naye. Ila hilo la pengo halitazibika nalikataa.
2. Kwani wewe unanijua? Unajua mimi nina mishahara mingapi? hata ikiwa 1,000,000 so what? of what use to me?
3. Kila mmoja anaweza kutangaza, I guess, kila mmoja akipenda! Ndiyo maana unaona fani imevamiwa... lkn siyo kila mmoja anaweza kuwa daktari.

ooh,powa mkuu nimekuelewa basi nilidhani unamuongelea jamaa.pamoja sana mkuu
 
Mkurugenzi Mkuu Dkt. Ayub Rioba anasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi mwenzetu, Mwandishi wa Habari Elisha Elia, kilichotokea tarehe 24/10/2020 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, alikokuwa amelazwa kwa matibabu.

Taarifa zaidi zitatolewa.

Alikuwa anaripoti vizuri habari za CHATO na LUMUMBA Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi
 
Ni maajabu sana unachoongea

Kuchukulia kifo ni personal preference ya mtu

Wewe kifo kinakupa deep emotional feelings,kuna wengine kama mimi na huyo bwana uliemjibu hatuna feelings zozote

Sasa upo hapa kuelekeza wanadamu wengine how to feel kuhusu kifo?

Wewe njia yako ndio sahihi na ni lazima dunia nzima iifate?

Hebu usipangie wanadamu wengine mambo tafadhali....unatafuta ugomvi na vita na hawa wanadamu

Waache huru wa-feel wanavyojisikia,wewe unafeel hivyo ni kivyako...

Hebu tuheshimiane na personal freedoms za watu..hajakutukana,hajavamia your freedoms,na yeye muache tafadhali!
Rufus kusoma tena post yangu,,sina la kukujibu zaidi
 
Kwan mahaba ya mbogamboga ndio yamemuua? Ebu acha itikadi zako za kisiasa kwenye mambo kama haya, ata wanao msifisia lisu nao wanakufa. Kumbuka alikuwa anafanya kaz na umoja wa mataifa pia kwaiyo nao utasema ni wana ccm?
Mwaka huu wajitathmnini maana wametembea wa kutosha
 
Kuwa chama fulani ni maamuzi binafsi tu hayo,,,kama wewe vile kuwa upande wa Lisu,wako millions upande wa Lisu na millions upande wa ccm lakini hatubaguani mtaani,,unaweza wewe kuwa mangi na una duka lako na bendera inapepea dukani kwako lakin watu wa ccm,,nccr,,chauma,cuf etc wanakuja pata mahitaji yao dukani kwako kwa amani kbs,,,hata kama unawafahamu ni wanachama kindakindaki kwao huko waliko....kifupi hatujafikia sehemu ya kubaguana namna hiyo,,,watu bado wanathaminiana na kuheshimiana mtaani vizuri kbs
Sawa
 
Back
Top Bottom