TANZIA Mtangazaji wa TBC Taifa, Elisha Elia Mwakalinga afariki Dunia

Kuna yule jamaa wa habari za biashara....ashukuru Mungu tu anaruhusiwa kuvaa yale makoti

Hatumuombea mabaya lakini.....
Huyu hata mm nilishtuka kuna kipindi alipungua ghafla kuna rfk yetu alikua anafanya hapo tbc tukamuuliza mbona hivyo? na yy hakujibu lolote
 
Tunagawanywa kwa mengi.
Kuna waliovunjiwa nyumba zao Gongo la Mboto kisa walimchagua mchadema na kumbe Ni mlevi akaja akawageuka huku washavunjiwa yeye akawa waziri.
Kuna waliovunjiwa nyumba zao kwa kudhaniwa wachaga au kumchagua mchadema. Kuna wale wa Mwanza hawawezi kuvunjiwa kisa walichagua kuchechemea.
 
Alikimudu kipindi cha TUNATEKELEZA,ila kazi ya kuzunguruka maeneo tofauti yenye hali ya hewa tofauti inahitaji mwili uwe na immunity ngangari
Kama Kuna Jambo jema umelitenda. Kuna haja ya kupiga tarumbeta kwamba umefanya Jambo jema? Si watu wataliona. Sasa inamaana gani kuzunguka mikoa yote kwa kutumia Kodi za watu kuwaambia.
 
Inaonekana unamjua zaidi. Apumzike kwa amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…