Mtanzania gani ataweza kuja kuweka rekodi hii? Rais Samia alishaweka rekodi zake.

Mtanzania gani ataweza kuja kuweka rekodi hii? Rais Samia alishaweka rekodi zake.

Basi wapinzani wote wawe CCM km kuwa upinzani hakuna maana yeyote ya kufikia wanakotamani.

..hapana.

..HAKI itendeke wakati wa uchaguzi.

..kama Samia anajiamini, na ni mkweli kuhusu 4R, hakupaswa kupiga danadana Tume Huru, na Katiba Mpya.
 
..hapana.

..HAKI itendeke wakati wa uchaguzi.

..kama Samia anajiamini, na ni mkweli kuhusu 4R, hakupaswa kupiga danadana Tume Huru, na Katiba Mpya.
Wapinzani piganieni lile mnaloliamini. Sio kosa. Kama ambavyo Rais naye anapaswa kupigania 4Rs zake vile anavyoamini. Sio kosa pia.
 
..unasema hivyo kwasababu unajua DOLA iko nyuma yake.

..lakini nakuhakikishia atakuwa mgombea asiyeweza kujenga hoja, na kushawishi, kuliko wagombea wenzake.
Nani kawanyima nafasi wanaoweza kushawishi? Wao wenyewe wapambane
 
hakuna ubaya, ila nikurudia points moja mara mbili.

kwanini usingeandika "ni mwanamke wa kwanza kuwa mwenyekiti wa chama cha mapinduzi?"
Kuna shida nikiandika vile tutakavyo? Hakuna. Kama ambavyo hakuna shida kuelewa vile utakavyo.
 
Nani kawanyima nafasi wanaoweza kushawishi? Wao wenyewe wapambane

..Polisi, Usalama, na Tume, wako dhidi ya wagombea wa upinzani, huku wakipendelea wagombea wa Ccm.

..Mgombea wenu mnajua hana uwezo, ndio maana mmeanza kampeni mapema, huku mkitumia fedha za ufisadi kuhonga.
 
..Polisi, Usalama, na Tume, wako dhidi ya wagombea wa upinzani, huku wakipendelea wagombea wa Ccm.

..Mgombea wenu mnajua hana uwezo, ndio maana mmeanza kampeni mapema, na akitumia za ufisadi kuhonga.
Sasa mtaendelea kulalamika hadi lini? Hebu tuanzie hapo.
 
Kuna shida nikiandika vile tutakavyo? Hakuna. Kama ambavyo hakuna shida kuelewa vile utakavyo.
umesema tuongezee rekodi zake, nami nmekuongezea rekodi yake nyingine kuwa;

"ni mwanamke wa kwanza kuwa mwenyekiti wa CCM"

Kwani hii siyo sifa yake pia?

kama ni sifa yake pia rudi kwenye bandiko lako hapo juu uiongeze.
 
Back
Top Bottom