Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 8,870
- 10,066
Ukiwa mfungwa una pewa options na wewe ndio una takiwa kupima...Yasemekana alikuwa mfungwa. Kama mfungwa alikuwa na uhuru gani wa maamuzi?
Nina miaka saba jela je nitumikie?
Nina ofa ya kwenda vitani, sio jeshini ni vitani kwa miezi sita then nabaki huru na pesa napewa...
Akili ya kawaida hapa una tumika na utakufa tu hautotoka hai/salama, kama sio wao basi vita vita kuondoa
Madili haramu sio ya kuamini, ukikubari kuingia hautotoka na ukitaka kutoka utakwenda na maji tu
Huwezi toka ukaweke siri adharani ni ngumu, utakuja kuwa kama dkt shika (RIP)
Ni bora ukae jela miaka 7 ni salama zaidi, short cut ni long cut... vya bure ni gharama
Amebet ila haikwrnda upande wake, kufaulu kulikuwa ni kudogo sana...