vengu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 739
- 535
Povu Kama lote bwasheeIdiot! Umeshindwa kujiwekeza mwenyewe kwa uvivu mkubwa ulionao unawaza kufanya kazi kwa wengine. Mode ujinga kama huu muwe mnaondoa haraka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Povu Kama lote bwasheeIdiot! Umeshindwa kujiwekeza mwenyewe kwa uvivu mkubwa ulionao unawaza kufanya kazi kwa wengine. Mode ujinga kama huu muwe mnaondoa haraka.
Acha kuwatisha wazee wetu. Kwa Tanzania Corona imeshadunda wadudu wake washakuwa powerlessNdio hivyo tena, suala la corona haliepukiki kusambaa huku mjini, tunajifariji na kujaribu kunawa mkono ila ni suala la muda tu,
Nachotaka kuwashauri wazee wangu wa kuanzia miaka 60 na kuendelea warudi tu kijijini kwanza, kwa kuwa ugonjwa huu unaua wazee na watu wenye matatizo mengine kiafya, zaidi ya 95% ya vifo vyote vinaangukia kundi hili
Kijijini kule hakuna msongamano na pia unaweza kujifungia hata mwezi bila kutoka kiurahisi
Maana kikija kunuka hapa (ndani ya mwezi au miwili) hapa mjini hapatatosha na suala la lockdown kwa nchi zetu haliwezekani, so chonde chonde wazee, mjini hapawafai
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unamchokoza mambosasa!Ndio hivyo tena, suala la corona haliepukiki kusambaa huku mjini, tunajifariji na kujaribu kunawa mkono ila ni suala la muda tu,
Nachotaka kuwashauri wazee wangu wa kuanzia miaka 60 na kuendelea warudi tu kijijini kwanza, kwa kuwa ugonjwa huu unaua wazee na watu wenye matatizo mengine kiafya, zaidi ya 95% ya vifo vyote vinaangukia kundi hili
Kijijini kule hakuna msongamano na pia unaweza kujifungia hata mwezi bila kutoka kiurahisi
Maana kikija kunuka hapa (ndani ya mwezi au miwili) hapa mjini hapatatosha na suala la lockdown kwa nchi zetu haliwezekani, so chonde chonde wazee, mjini hapawafai
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi mzazi wangu yupo kijijini..nimeshamtumia hela ya kununua vitu kama mafuta na mchele na maharage na kuweka ndani, vingine atatoa shambani, miezi hata 3 atatoboa navyoWatarudi ikiwa Mzee wako atakuwa wa Kwanza kuripotiwa ni mwathirika wa COVD 19 bila ya hivyo, kaa kimya kama maji mtungini
Mambosasa kwani ana 60+ tayari? Huu sio utani wakuu hii ni seriousNaona unamchokoza mambosasa!
Mambosasa amefikisha miaka 60 ?Naona unamchokoza mambosasa!
Naona unataka mzee wako awe mpaganiMi mzazi wangu yupo kijijini..nimeshamtumia hela ya kununua vitu kama mafuta na mchele na maharage na kuweka ndani, vingine atatoa shambani, miezi hata 3 atatoboa navyo
Nimemshauri asiende sokoni wala kanisani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hataki uzushi kuhusu Corona!Mambosasa kwani ana 60+ tayari? Huu sio utani wakuu hii ni serious
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hivyo tena, suala la corona haliepukiki kusambaa huku mjini, tunajifariji na kujaribu kunawa mkono ila ni suala la muda tu,
Nachotaka kuwashauri wazee wangu wa kuanzia miaka 60 na kuendelea warudi tu kijijini kwanza, kwa kuwa ugonjwa huu unaua wazee na watu wenye matatizo mengine kiafya, zaidi ya 95% ya vifo vyote vinaangukia kundi hili
Kijijini kule hakuna msongamano na pia unaweza kujifungia hata mwezi bila kutoka kiurahisi
Maana kikija kunuka hapa (ndani ya mwezi au miwili) hapa mjini hapatatosha na suala la lockdown kwa nchi zetu haliwezekani, so chonde chonde wazee, mjini hapawafai
Sent using Jamii Forums mobile app
''Lock down'' kwa Tanzania ni ngumu watu tunaishi kwakipato cha chakula cha kesho ama leo wengi hawana uwezo wa chakula cha mwezi mzima. Kuwa mzee haina maana unakaribia kufa kwanza vijana ndiyo rate yao ya kufa ni kubwa hapa tujifunze kwamba hii ni laana ya dhambi zetu nifunzo la jumla kwamba maisha yetu ni machafu yaani mwenendo wa maisha yetu hayampendezi Mungu tutafakari upya naman ya kuenenda pia kutojichangayachanganya na mataifa mengine bila mpangilio maalumNdio hivyo tena, suala la corona haliepukiki kusambaa huku mjini, tunajifariji na kujaribu kunawa mkono ila ni suala la muda tu,
Nachotaka kuwashauri wazee wangu wa kuanzia miaka 60 na kuendelea warudi tu kijijini kwanza, kwa kuwa ugonjwa huu unaua wazee na watu wenye matatizo mengine kiafya, zaidi ya 95% ya vifo vyote vinaangukia kundi hili
Kijijini kule hakuna msongamano na pia unaweza kujifungia hata mwezi bila kutoka kiurahisi
Maana kikija kunuka hapa (ndani ya mwezi au miwili) hapa mjini hapatatosha na suala la lockdown kwa nchi zetu haliwezekani, so chonde chonde wazee, mjini hapawafai
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hivyo tena, suala la corona haliepukiki kusambaa huku mjini, tunajifariji na kujaribu kunawa mkono ila ni suala la muda tu,
Nachotaka kuwashauri wazee wangu wa kuanzia miaka 60 na kuendelea warudi tu kijijini kwanza, kwa kuwa ugonjwa huu unaua wazee na watu wenye matatizo mengine kiafya, zaidi ya 95% ya vifo vyote vinaangukia kundi hili
Kijijini kule hakuna msongamano na pia unaweza kujifungia hata mwezi bila kutoka kiurahisi
Maana kikija kunuka hapa (ndani ya mwezi au miwili) hapa mjini hapatatosha na suala la lockdown kwa nchi zetu haliwezekani, so chonde chonde wazee, mjini hapawafai
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko ambako Dini zimetokea wenyewe wamepiga marufuku ibada wewe unasema mzee wangu atakuwa mpagani, Duh Waafrika banaNaona unataka mzee wako awe mpagani
Mzee ndio hivyo, hapa mjini "patanuka" muda si mrefu, kama hana kijiji basi ana bahti mbayaMama yangu kazaliwa na kakulia Kariakoo Mtaa wa Muhonda. Sasa hivi ndio tumemhamisha anakaa Magomeni Mapipa. Ana miaka 80. Kijijini nimpeleke wapi? Siyo kila mtu anayeishi mjini au anayeishi Dar ni mtu wa kuja. Wenyeji walikuwepo na wapo. Wageni rudisheni wazee wenu vijijini wenyeji tuacheni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani dini zimetokea wapi ?Huko ambako Dini zimetokea wenyewe wamepiga marufuku ibada wewe unasema mzee wangu atakuwa mpagani, Duh Waafrika bana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie Corona itamfuata huko huko. Corona haigopi mtutu wa bundukiShauri yao. Nawatahadharisha tu hata Magufuli imebidi azame zaidi ndani baada ya hata Dodoma kupaona siyo salama tena . Kaenda Chatoooo