#COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19
Ndio hivyo tena, suala la corona haliepukiki kusambaa huku mjini, tunajifariji na kujaribu kunawa mkono ila ni suala la muda tu,

Nachotaka kuwashauri wazee wangu wa kuanzia miaka 60 na kuendelea warudi tu kijijini kwanza, kwa kuwa ugonjwa huu unaua wazee na watu wenye matatizo mengine kiafya, zaidi ya 95% ya vifo vyote vinaangukia kundi hili

Kijijini kule hakuna msongamano na pia unaweza kujifungia hata mwezi bila kutoka kiurahisi

Maana kikija kunuka hapa (ndani ya mwezi au miwili) hapa mjini hapatatosha na suala la lockdown kwa nchi zetu haliwezekani, so chonde chonde wazee, mjini hapawafai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kuwatisha wazee wetu. Kwa Tanzania Corona imeshadunda wadudu wake washakuwa powerless
 
Ndio hivyo tena, suala la corona haliepukiki kusambaa huku mjini, tunajifariji na kujaribu kunawa mkono ila ni suala la muda tu,

Nachotaka kuwashauri wazee wangu wa kuanzia miaka 60 na kuendelea warudi tu kijijini kwanza, kwa kuwa ugonjwa huu unaua wazee na watu wenye matatizo mengine kiafya, zaidi ya 95% ya vifo vyote vinaangukia kundi hili

Kijijini kule hakuna msongamano na pia unaweza kujifungia hata mwezi bila kutoka kiurahisi

Maana kikija kunuka hapa (ndani ya mwezi au miwili) hapa mjini hapatatosha na suala la lockdown kwa nchi zetu haliwezekani, so chonde chonde wazee, mjini hapawafai

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unamchokoza mambosasa!
 
Watarudi ikiwa Mzee wako atakuwa wa Kwanza kuripotiwa ni mwathirika wa COVD 19 bila ya hivyo, kaa kimya kama maji mtungini
 
Wazee ndio wako front page kuamini kuwa wasali makanisan na misikitini kwa wingi kwan corona inaogopa dam ya kristo
 
Watarudi ikiwa Mzee wako atakuwa wa Kwanza kuripotiwa ni mwathirika wa COVD 19 bila ya hivyo, kaa kimya kama maji mtungini
Mi mzazi wangu yupo kijijini..nimeshamtumia hela ya kununua vitu kama mafuta na mchele na maharage na kuweka ndani, vingine atatoa shambani, miezi hata 3 atatoboa navyo

Nimemshauri asiende sokoni wala kanisani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shauri yao. Nawatahadharisha tu hata Magufuli imebidi azame zaidi ndani baada ya hata Dodoma kupaona siyo salama tena . Kaenda Chatoooo
 
Wakienda kuueneza na huko? Tufuate tu maelekezo ya serikali mimi naona!
Ndio hivyo tena, suala la corona haliepukiki kusambaa huku mjini, tunajifariji na kujaribu kunawa mkono ila ni suala la muda tu,

Nachotaka kuwashauri wazee wangu wa kuanzia miaka 60 na kuendelea warudi tu kijijini kwanza, kwa kuwa ugonjwa huu unaua wazee na watu wenye matatizo mengine kiafya, zaidi ya 95% ya vifo vyote vinaangukia kundi hili

Kijijini kule hakuna msongamano na pia unaweza kujifungia hata mwezi bila kutoka kiurahisi

Maana kikija kunuka hapa (ndani ya mwezi au miwili) hapa mjini hapatatosha na suala la lockdown kwa nchi zetu haliwezekani, so chonde chonde wazee, mjini hapawafai

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio hivyo tena, suala la corona haliepukiki kusambaa huku mjini, tunajifariji na kujaribu kunawa mkono ila ni suala la muda tu,

Nachotaka kuwashauri wazee wangu wa kuanzia miaka 60 na kuendelea warudi tu kijijini kwanza, kwa kuwa ugonjwa huu unaua wazee na watu wenye matatizo mengine kiafya, zaidi ya 95% ya vifo vyote vinaangukia kundi hili

Kijijini kule hakuna msongamano na pia unaweza kujifungia hata mwezi bila kutoka kiurahisi

Maana kikija kunuka hapa (ndani ya mwezi au miwili) hapa mjini hapatatosha na suala la lockdown kwa nchi zetu haliwezekani, so chonde chonde wazee, mjini hapawafai

Sent using Jamii Forums mobile app
''Lock down'' kwa Tanzania ni ngumu watu tunaishi kwakipato cha chakula cha kesho ama leo wengi hawana uwezo wa chakula cha mwezi mzima. Kuwa mzee haina maana unakaribia kufa kwanza vijana ndiyo rate yao ya kufa ni kubwa hapa tujifunze kwamba hii ni laana ya dhambi zetu nifunzo la jumla kwamba maisha yetu ni machafu yaani mwenendo wa maisha yetu hayampendezi Mungu tutafakari upya naman ya kuenenda pia kutojichangayachanganya na mataifa mengine bila mpangilio maalum
 
Mama yangu kazaliwa na kakulia Kariakoo Mtaa wa Muhonda. Sasa hivi ndio tumemhamisha anakaa Magomeni Mapipa. Ana miaka 80. Kijijini nimpeleke wapi? Siyo kila mtu anayeishi mjini au anayeishi Dar ni mtu wa kuja. Wenyeji walikuwepo na wapo. Wageni rudisheni wazee wenu vijijini wenyeji tuacheni.
Ndio hivyo tena, suala la corona haliepukiki kusambaa huku mjini, tunajifariji na kujaribu kunawa mkono ila ni suala la muda tu,

Nachotaka kuwashauri wazee wangu wa kuanzia miaka 60 na kuendelea warudi tu kijijini kwanza, kwa kuwa ugonjwa huu unaua wazee na watu wenye matatizo mengine kiafya, zaidi ya 95% ya vifo vyote vinaangukia kundi hili

Kijijini kule hakuna msongamano na pia unaweza kujifungia hata mwezi bila kutoka kiurahisi

Maana kikija kunuka hapa (ndani ya mwezi au miwili) hapa mjini hapatatosha na suala la lockdown kwa nchi zetu haliwezekani, so chonde chonde wazee, mjini hapawafai

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama yangu kazaliwa na kakulia Kariakoo Mtaa wa Muhonda. Sasa hivi ndio tumemhamisha anakaa Magomeni Mapipa. Ana miaka 80. Kijijini nimpeleke wapi? Siyo kila mtu anayeishi mjini au anayeishi Dar ni mtu wa kuja. Wenyeji walikuwepo na wapo. Wageni rudisheni wazee wenu vijijini wenyeji tuacheni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee ndio hivyo, hapa mjini "patanuka" muda si mrefu, kama hana kijiji basi ana bahti mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shauri yao. Nawatahadharisha tu hata Magufuli imebidi azame zaidi ndani baada ya hata Dodoma kupaona siyo salama tena . Kaenda Chatoooo
Mwambie Corona itamfuata huko huko. Corona haigopi mtutu wa bunduki
 
Back
Top Bottom