Rekebisha sentesi yako kwanzaMimi naona kunifukuza ni njia sahihi
Mkuu acha utaniPunguza hofu mkuu corona inauwa watu wa ccm + wabunge wao sisi makachero bd zamu yetu.
Onesha na tarehe basiSoma hiyo sasa kipo sehemu zote Kama
Waziri alivyosema Tayari kimeshafika wewe na Mungu wako tu kwa sasaView attachment 1435725
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaelewa hata anachoongelea umekurupuka kujibu, anaongelea uchumi, we unaongelea hisia zako za kishetani.Tutakuwa tumezikwa wengi na nusu wameozeana barabarani. Fisi watazaliana sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Corona imekuta Jiwe ameshatunyoosha, sasa inamalizia kazi.Salaam wanajukwaa, nimekua nikitafakar maisha miez mitatu ijayo binafs Niko kwenye utalii Hali ni mbaya sana Lakin ni kila mahali, naombeni mawazo wazee tunafanyaje Familia ziendelee kupata milo mitatu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika tutaishi Kama mashetaniSalaam wanajukwaa, nimekua nikitafakar maisha miez mitatu ijayo binafs Niko kwenye utalii Hali ni mbaya sana Lakin ni kila mahali, naombeni mawazo wazee tunafanyaje Familia ziendelee kupata milo mitatu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana "c&p" toka kwa Mzee Baba, yale yote mema bora kuiga.Habari za siku nyingi wapendwa.
Naona sasa watu mnakimbia mjini kisa korona mnakuja vijijini.
Hivi mna mpango gani na hawa wazee,baba zetu,mama zetu,babu zetu na bibi zetu si mmekuja kuwaua kabisa na huu ugonjwa.
Watu mliopo Kitunda,Banana,Mwanagati Nyantira Mabibo mtuhurumie masikini.
Mbaya zaidi mtu analeta familia kijijini halafu anarudi Dar kuendelea na shughuli zake akisema hali ikizidi kuwa mbaya atarudi kijijini kwa familia yake, weya si mnakuja kuua kabisa wazee wetu??
Mbona waliopo Kenya hatuwaoni wanarudi huku?
Sasa najiuliza hii harusi iliyokuwepo jana hapa kijijini,nusu ya watu walitoka Dar sijui itakuwaje kwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unasema "hali ni mbaya sana" still unafikiria milo 3 kwa Siku ?!! fikiria kwanza mlo mmoja,,kwenye dharura kama hii milo 3 ni anasa!Salaam wanajukwaa, nimekua nikitafakar maisha miez mitatu ijayo binafs Niko kwenye utalii Hali ni mbaya sana Lakin ni kila mahali, naombeni mawazo wazee tunafanyaje Familia ziendelee kupata milo mitatu.
Sent using Jamii Forums mobile app