ngakotecture
JF-Expert Member
- Dec 30, 2014
- 2,569
- 2,847
Na sasa ivi tunajifukizaMama watu tumekua tunakula ugari wa mtama,kisamvu,maziwa, maboga ,nk,4-6 kawaida, usihofu,majabari tupo
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na sasa ivi tunajifukizaMama watu tumekua tunakula ugari wa mtama,kisamvu,maziwa, maboga ,nk,4-6 kawaida, usihofu,majabari tupo
Sent using Jamii Forums mobile app
I know ni just a probability. Ushauri wangu ungeongeza sample space ili ku cover idadi kubwa zaidi.Ndugu zangu hesabu ni nzuri sana wewe.
Mpaka sasa pale kitaluni wameshaondoka watu watatu. Pale kitaluni kuna estimate ya wabunge 300. Take kitalu chetu kama sample space. Hii inamanisha kimahesabu palipo na watu 100 mmoja amedondoka kwa covid 19. While assume ktk hawa watu watatu waliokufa at list at very low level ameambukiza watu watatu.
Tanzania ina zaidi ya watu 51m hii inamanisha kwamba ktk kila watu 100 mmoja amekufa kwa covid 19. While ameambukiza watu wa 3.
Hivyo kwa sasa pitia math estimate upo uwezekano ktk watu 51m kuna watu 510k wameshafukiwa while mpaka sasa maambukizi ikiwa kila alie kufa aliwasambazia watu watatu inamanisha ktk watu mia watu watatu wameambukizwa hivyo idadi kamili ya wenye covid 19 itakuwa 1.53m kwa tanzania nzima.
Note
Hii ni estimate by using sample space ya bunge lenye idadi ya watu 300.
Hii sio idadi ya kweli wala haiusiani na data serikali inatoa wala kupinga idadi serikali inatoa .
Unaweza nipinga au nirekebisha.
Keep safe.
Sijui kwanini..na mm niliskia hayoKwanini iwauwe wao tu?
Poa tuSi tutabaki masingo maza tupu jamani
Unataka wafe wanawake ili uwaletee watoto mama wa kambo eeeh??Katika Nchi nyingi hata Huko uchina huu ugonjwa umeua sana wanaume kuliko wanawake, hata Katika nchi ya marekani wengi wanaokufa ni wanaume
Nini siri ya Corona?
Yaan rais huyu wa kwetu aikomboe afrika how?Ndugu Rais wetu ikomboe afrika kama juhudi zaidi kumuunga mkono Baba wa taifa Mwl. J Nyerere. Viongozi wengine wanawatesa watu wao kuwa lockdown watakufa kwa njaa. Swali la kujiuliza . Corona itaisha lini? na lockdown mwisho wake lini? Vip kama itaendelea zaidi miaka 2?.chanjo tumeambia miezi 18. Afrika watu watakufa kwa njaa kwa lockdown zisizona mwisho
Nikila kuku wa kienyeji kilo moja, nikishushia na Martin's naweza kuangusha kijiji kizima usituchukulie poaWanaume WA sasa hamuwezi hayo makitu, zamani mwanaume mmoja hata wanawake kumi anaweza kuhandle tu bila shida
Kiafya wanawake wako vizuri ukitaka kulijua hilo ebu jifungie wewe na mke wako siku kadhaa bila kula chochote uone nani ataanza kufa kati ya mwanamke na mwanammeKatika Nchi nyingi hata Huko uchina huu ugonjwa umeua sana wanaume kuliko wanawake, hata Katika nchi ya marekani wengi wanaokufa ni wanaume
Nini siri ya Corona?