#COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19
Wanawake mna Mafuta mengi sana kwenye miili yenu na huwa mnazalisha joto kwa wingi sana
 
Ndugu Rais wetu ikomboe afrika kama juhudi zaidi kumuunga mkono Baba wa taifa Mwl. J Nyerere. Viongozi wengine wanawatesa watu wao kuwa lockdown watakufa kwa njaa. Swali la kujiuliza . Corona itaisha lini? na lockdown mwisho wake lini? Vip kama itaendelea zaidi miaka 2?.chanjo tumeambia miezi 18. Afrika watu watakufa kwa njaa kwa lockdown zisizona mwisho
 
Ni wazi lile sikio la kufa halisikii dawa, sasa dawa imeshapatikana, sikio limeshasikia kwa kuwa limejeruhiwa.

Tutegemee hatua kali na ngumu kuchukuliwa na Bunge la JMT katika kupambana na ugonjwa wa COVID-19.

Ushauri uliotolewa na wanaharakati na wapinzani mbalimbali, sasa unaenda kutekelezwa kwa shingo upande.

Asubuhi njema, tuendelee kuchukua tahadhari kujilinda na Corona.
 
Ndugu zangu hesabu ni nzuri sana wewe.
Mpaka sasa pale kitaluni wameshaondoka watu watatu. Pale kitaluni kuna estimate ya wabunge 300. Take kitalu chetu kama sample space. Hii inamanisha kimahesabu palipo na watu 100 mmoja amedondoka kwa covid 19. While assume ktk hawa watu watatu waliokufa at list at very low level ameambukiza watu watatu.

Tanzania ina zaidi ya watu 51m hii inamanisha kwamba ktk kila watu 100 mmoja amekufa kwa covid 19. While ameambukiza watu wa 3.

Hivyo kwa sasa pitia math estimate upo uwezekano ktk watu 51m kuna watu 510k wameshafukiwa while mpaka sasa maambukizi ikiwa kila alie kufa aliwasambazia watu watatu inamanisha ktk watu mia watu watatu wameambukizwa hivyo idadi kamili ya wenye covid 19 itakuwa 1.53m kwa tanzania nzima.
Note
Hii ni estimate by using sample space ya bunge lenye idadi ya watu 300.
Hii sio idadi ya kweli wala haiusiani na data serikali inatoa wala kupinga idadi serikali inatoa .
Unaweza nipinga au nirekebisha.
Keep safe.
 
Wapumzike kwa Amani wazee walioifanyia mema taifa hili na ambao bado tuliwahitaji.

Hakuna kusema tena lockdown ni suala la upinzani ikiwa tunapoteza viongozi mfululizo kwa kipindi kifupi tangia nchi ipate uhuru.

Pengine wapo wanaosema sio kila kifo ni Covid-19 lakini haina haja kubishana sana nao mwenye macho haambiwi tazama tena.

Wazee ni hazina katika taifa, ni washauri katika taifa na hao ni wahanga katika nyakati hizi kutokana umri unaposogea immunity inakuwa dhaifu.

Hisia za kuchekwa na mataifa makubwa ziwazi sasa suala la Viongozi vifo kufuatana namna hii kweli haijawahi tokea.

Cc: Hero, Bia yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenge ametokwa na damu sikioni. Ila JPM siyo Mtanzania
 
Ndugu zangu hesabu ni nzuri sana wewe.
Mpaka sasa pale kitaluni wameshaondoka watu watatu. Pale kitaluni kuna estimate ya wabunge 300. Take kitalu chetu kama sample space. Hii inamanisha kimahesabu palipo na watu 100 mmoja amedondoka kwa covid 19. While assume ktk hawa watu watatu waliokufa at list at very low level ameambukiza watu watatu.

Tanzania ina zaidi ya watu 51m hii inamanisha kwamba ktk kila watu 100 mmoja amekufa kwa covid 19. While ameambukiza watu wa 3.

Hivyo kwa sasa pitia math estimate upo uwezekano ktk watu 51m kuna watu 510k wameshafukiwa while mpaka sasa maambukizi ikiwa kila alie kufa aliwasambazia watu watatu inamanisha ktk watu mia watu watatu wameambukizwa hivyo idadi kamili ya wenye covid 19 itakuwa 1.53m kwa tanzania nzima.
Note
Hii ni estimate by using sample space ya bunge lenye idadi ya watu 300.
Hii sio idadi ya kweli wala haiusiani na data serikali inatoa wala kupinga idadi serikali inatoa .
Unaweza nipinga au nirekebisha.
Keep safe.
I know ni just a probability. Ushauri wangu ungeongeza sample space ili ku cover idadi kubwa zaidi.
In relation jibu lako uli include kwenye population equation Nt=Pert.
Inaweza somehow ku predict the end results.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu Rais wetu ikomboe afrika kama juhudi zaidi kumuunga mkono Baba wa taifa Mwl. J Nyerere. Viongozi wengine wanawatesa watu wao kuwa lockdown watakufa kwa njaa. Swali la kujiuliza . Corona itaisha lini? na lockdown mwisho wake lini? Vip kama itaendelea zaidi miaka 2?.chanjo tumeambia miezi 18. Afrika watu watakufa kwa njaa kwa lockdown zisizona mwisho
Yaan rais huyu wa kwetu aikomboe afrika how?
Kwanza hana mandate au power yoyote kisheria kuweza kufanya hivyo.
Pili hizi habari zenu za uwongo.kuwa eti nchi zingine zinawatesa wananchi wao eti wanakufa kwa njaa.. nani kasema?

Kisa tanzania lockdown.haiwezi kuwepo usifikirie na nchi zingine ziko hivyo hivyo.
Uganda wamejarib wameweza.. tena serikal.yao.yenyewe ndio inasambaza chakula. Rwanda walianza kugawa pesa kwa kila familia.

Ghana waliweza.. south africa wameweza.. na hakuna.malalamiko ya njaa. Hizo habari uchwara unazipata wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata walipokuwa hai huo ushaurinwao huwa tunausikiliza...?
Haswa kipindi hiki level ya ubishi, viburi na ujuaji vimeongezeka kupita kiasi.
Matokeo yake ni nchi kuanza kuelemewa na baadhi ya mambo. Yes nje watatucheka ila sio ishu kubwa sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika Nchi nyingi hata Huko uchina huu ugonjwa umeua sana wanaume kuliko wanawake, hata Katika nchi ya marekani wengi wanaokufa ni wanaume
Nini siri ya Corona?
Kiafya wanawake wako vizuri ukitaka kulijua hilo ebu jifungie wewe na mke wako siku kadhaa bila kula chochote uone nani ataanza kufa kati ya mwanamke na mwanamme

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom