wanywa gongo hawapati corona! Mark my wordKutokana na taarifa tulizozipata kuwa mdudu wa corona yupo katika hari ya mafuta mafuta na anateketea fasta katika pombe kama alkoholi au gongo.
Hivyo kutokana na hili janga hizi pombe zianze kutumika katika mikusanyiko yote iliyobaki ikiwemo kupulizia masokoni na maeneo yote ya mikusanyiko kama Bungeni, makanisani, misikitini, mabenki, supa maketi, katika mabaa, kwenye mabasi yote hili kunusuru maisha ya watanzania. kwani gonjwa hili haliangalii kuwa wewe ni mbunge, mchungaji, mtume, shekhe au waziri au mtu wa kawaida.
Pia serikali iondoe katazo la haramu ya gongo na itengenezwe kwa wingi katika kipindi hiki cha hili janga hatari la Corona.
Vilevile mama Ummy Mwalimu waziri mwenye dhamana awatume wataalamu wake waje huku uswahilini kufanya utafiti hata kwa wanywaji wa gongo kama wanaweza kuambukizwa korona au laa kwani nivizuri kujaribu hizi tafiti ingawa hatukuwai kuwaza, kwani dunia nzima inapapasa kwa habari ya dawa ya korona maana wataalam wa dunia wameshindwa, watumishi wa Mungu hawana majibu viongozi wa serikali mbali mbali duniani nao wanalia, tufanye tafiti tusichoke.
Pia nachukua nafasi hii kuipongeza serikali kwa hatua mbali mbali inazochukua kupambana na janga hili la Korona hapa nchini.
mimi toka ijumatatu ya wiki iliyopita nilikua hoi mno. Mbavu,kifua,joint,kichwa,homa na kikohoo
Niliogopa sana yaani kifua na koo vilivyokua vinauma nilijua naondoka asee. Ila leo niko poa kabisa.(Sikuambia yoyote juu ya hiki)
Cha msingi acha Hofu kabisa kama una Kwaya Video angalia sana zinaondoa temptation..
Chukua Baking Soda kijiko cha kula kimoja changanya kwenye glasi kunywa kabla ya kula chochote.Nimepona kifua na Mbavu kwa hili.
Chukua Tangawizi,Asali na liamao uwe unakunywa.
Chukua mnyaa/mnyara ubabue kwenye moto kifogo kisha tafuna meza maji yake kikohoo kitapona.
Au tafuna majani ya mbaazi kifua na Kikohoo vitapona
Mimi nimepona koo kwa mchanganyiko huo
View attachment 1436458
Mkuu usikate tamaa fanya hivi
Anza dosi ya mchanganyiko wa kuchemsha Wa limao ,tangawizi ,kitunguu swahum na chumvi kila wakati wakati huo pata dawa za kupunguza maumivu,weka antibiotic Kali ka ma azithromycin,na kama homa Kali piga na mseto inaweza kua malaria kama shida kupumu chukua salbutamol inhal.Tuliza kichwa punguza mawazo na kwa maelezo hayo ni matumain utaludi hapa janvin kwa kicheko
Acheni upuuzi
Hela za mwenge mmezipeleka wapi?
Hela za Muungano mmepeleka wapi?
Hela za Mei mosi mmepeleka wapi?
Hela za Rostam + waisani kibao
Mnashindwa kununua hizo machine zakupumua mpaka sahivi ccm majambakuzi sana.
Wewe utakubali usilipwe mafao yakoHili ni jambo la dharula. Wabunge kwa kipindi hiki kigumu wasilipwe mafao yao ambayo hua zaidi ya milion 200 kila mmoja na wapo wabunge zaidi ya 350. Na badala yake serikali wachukue hizo pesa waongezee kidogo wanunue ventilators za kusaidia kupumua zaidi ya 350. Na aamini zitasaidia sana.
Inabidi wabunge wayasemehe mafao yao kwa kipindi hiki cha miaka 5 kutokuwepo kabisa.
Wewe utakubali usilipwe mafao yako
Kwani serikali umesikia popote ikisema Haina helaHili ni jambo la dharula. Wabunge kwa kipindi hiki kigumu wasilipwe mafao yao ambayo hua zaidi ya milion 200 kila mmoja na wapo wabunge zaidi ya 350. Na badala yake serikali wachukue hizo pesa waongezee kidogo wanunue ventilators za kusaidia kupumua zaidi ya 350. Na aamini zitasaidia sana.
Inabidi wabunge wayasemehe mafao yao kwa kipindi hiki cha miaka 5 kutokuwepo kabisa.
Kwani serikali umesikia popote ikisema Haina hela