#COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19
Trust None, Ati Kigogo na humu JF ndio wenye takwimu sahihi hadi unakuwa kasuku kuweka picha ya makaburi? Kuna eneo ngani la makaburi lina kaburi chache? Hivi mauti yameanza kwa korona?

Hofu na unyumbu hakika utakuua.

JIKINGE UMKINGE JIRANI
 
Mungu tusadie sana hasa sisi Waafrika ngozi ngumu. Mhhh, naogopa sana. Wazee wote wakubwa wakubwa wako kule.
 
Wakizika wachache kama kumi hivi mnasema marehemu kafa kwa #covid19 wafanyaje sasa
 
Kutokana na taarifa tulizozipata kuwa mdudu wa corona yupo katika hari ya mafuta mafuta na anateketea fasta katika pombe kama alkoholi au gongo.

Hivyo kutokana na hili janga hizi pombe zianze kutumika katika mikusanyiko yote iliyobaki ikiwemo kupulizia masokoni na maeneo yote ya mikusanyiko kama Bungeni, makanisani, misikitini, mabenki, supa maketi, katika mabaa, kwenye mabasi yote hili kunusuru maisha ya watanzania. kwani gonjwa hili haliangalii kuwa wewe ni mbunge, mchungaji, mtume, shekhe au waziri au mtu wa kawaida.

Pia serikali iondoe katazo la haramu ya gongo na itengenezwe kwa wingi katika kipindi hiki cha hili janga hatari la Corona.
Vilevile mama Ummy Mwalimu waziri mwenye dhamana awatume wataalamu wake waje huku uswahilini kufanya utafiti hata kwa wanywaji wa gongo kama wanaweza kuambukizwa korona au laa kwani nivizuri kujaribu hizi tafiti ingawa hatukuwai kuwaza, kwani dunia nzima inapapasa kwa habari ya dawa ya korona maana wataalam wa dunia wameshindwa, watumishi wa Mungu hawana majibu viongozi wa serikali mbali mbali duniani nao wanalia, tufanye tafiti tusichoke.

Pia nachukua nafasi hii kuipongeza serikali kwa hatua mbali mbali inazochukua kupambana na janga hili la Korona hapa nchini.
 
wanywa gongo hawapati corona! Mark my word
 
Wakuu nimeonelea kuanzisha uzi huu rasmi kwa ajili ya kukusanya pamoja kinga mbalimbali na dawa tofauti tofauti zinazoweza kusaidia mapambano dhidi ya corona. Hii itaweka urahisi kwa members na non-members kupata msaada kirahisi. Wapo wenzetu humu wameshapitia kwenye shida hii na wengine wapo wanajiuguza. Hawa wanaweza kuwa msaada kutupa ujuzi wa mapambano.

Tusikate tamaa tupambanie afya zetu.

mimi toka ijumatatu ya wiki iliyopita nilikua hoi mno. Mbavu,kifua,joint,kichwa,homa na kikohoo

Niliogopa sana yaani kifua na koo vilivyokua vinauma nilijua naondoka asee. Ila leo niko poa kabisa.(Sikuambia yoyote juu ya hiki)

Cha msingi acha Hofu kabisa kama una Kwaya Video angalia sana zinaondoa temptation..

Chukua Baking Soda kijiko cha kula kimoja changanya kwenye glasi kunywa kabla ya kula chochote.Nimepona kifua na Mbavu kwa hili.

Chukua Tangawizi,Asali na liamao uwe unakunywa.
Chukua mnyaa/mnyara ubabue kwenye moto kifogo kisha tafuna meza maji yake kikohoo kitapona.

Au tafuna majani ya mbaazi kifua na Kikohoo vitapona
Mimi nimepona koo kwa mchanganyiko huo
View attachment 1436458

Mkuu usikate tamaa fanya hivi

Anza dosi ya mchanganyiko wa kuchemsha Wa limao ,tangawizi ,kitunguu swahum na chumvi kila wakati wakati huo pata dawa za kupunguza maumivu,weka antibiotic Kali ka ma azithromycin,na kama homa Kali piga na mseto inaweza kua malaria kama shida kupumu chukua salbutamol inhal.Tuliza kichwa punguza mawazo na kwa maelezo hayo ni matumain utaludi hapa janvin kwa kicheko
 
  1. Tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara
  2. Kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi
 
Hili ni jambo la dharula. Wabunge kwa kipindi hiki kigumu wasilipwe mafao yao ambayo hua zaidi ya milion 200 kila mmoja na wapo wabunge zaidi ya 350. Na badala yake serikali wachukue hizo pesa waongezee kidogo wanunue ventilators za kusaidia kupumua zaidi ya 350. Na aamini zitasaidia sana.
Inabidi wabunge wayasemehe mafao yao kwa kipindi hiki cha miaka 5 kutokuwepo kabisa.

NB: Hata mishahara ya watumishi wa umma na private walipwe nusu nusu tuongeze uwezo wa hospitali zetu
 
Acheni upuuzi

Hela za mwenge mmezipeleka wapi?
Hela za Muungano mmepeleka wapi?
Hela za Mei mosi mmepeleka wapi?
Hela za Rostam + waisani kibao

Mnashindwa kununua hizo machine zakupumua mpaka sahivi ccm majambakuzi sana.

Hizo bado peanut money. Zote ulizotaja zitaongezwa pamoja na mafao ya wabunge kununua ventilators
 
Hili ni jambo la dharula. Wabunge kwa kipindi hiki kigumu wasilipwe mafao yao ambayo hua zaidi ya milion 200 kila mmoja na wapo wabunge zaidi ya 350. Na badala yake serikali wachukue hizo pesa waongezee kidogo wanunue ventilators za kusaidia kupumua zaidi ya 350. Na aamini zitasaidia sana.
Inabidi wabunge wayasemehe mafao yao kwa kipindi hiki cha miaka 5 kutokuwepo kabisa.
Wewe utakubali usilipwe mafao yako
 
Kwani serikali umesikia popote ikisema Haina hela
 
Serikali za kiafrika zote hazina pesa ndo maana wanachangisha na namba ya kuchangia iko hewani.
Mkuu hujaona namba ya bank ya kuchangia?
 
Back
Top Bottom