Ukiwekea idadi ya watanzania waliopukutika utakuwa tayari kukubali ?Huko ilipo Who wamepukutika balaa
USA mnaemwabudu yupo taabani
Kabisa mkuu,Jiwe anafanya herd immunity atapukutisha watu sana.Hili ni ombi langu kwenu , achaneni na wapotoshaji wazalendo , miluzi mingi hupoteza Mbwa.
Jikingeni na virusi vya gonjwa hatari la Corona kwa kufuatilia ushauri wa WHO kama raia wa Mataifa mengine yaliyostaarabika wanavyofanya.
Mkifuata ushauri wa kishirikina mtapukutika bila huruma .
Majuto ni Mjukuu
Iliyotibitishwa na nani?Ukiwekea idadi ya watanzania waliopukutika utakuwa tayari kukubali ?
[emoji38] [emoji38][emoji38] [emoji38][emoji38]Uyo Laisi mwenyewe mgonjwa wa corona hotuba nzima ya dk 45 amekohoa Mara 70.
Ukiwekea idadi ya watanzania waliopukutika utakuwa tayari kukubali ?
Za kuambiwa tunachanganya na za kwetu mkuu. Kila mtu anywe anachoona kitamponya. Otherwise tuendelee kujificha ChattleImewaonya watu wote wanaotumia madawa ambaya hayajapitishwa na wataalamu wa afya kuwa uenda wakapa matatizo kupitia dawa hizo imesema mpaka sasa hakuna dawa inayoweza kutibu corona watu waache mara moja kutumia dawa ambazo ni hatari kiafa.
Sasa sisi wanyonge tumuamini nani Nyungu, Kujifukiza, Za Madagascar au malimao na tangawizi? wizara imesema hakuna dawa mpaka sasa na tuwapuuze.
My Take: 'Nchi ipo njia panda'
Raia wema wakiwemo wazikajiIliyotibitishwa na nani?
Iliyotibitishwa na nani?
kuna mtu kaenda kuzika bibi yake juzi kakutana na maiti nyingine 18 , ni punguani gani ataendelea kuamini hiyo 16 isiyoongezeka huku makaburi yanazidi kujaa ?Ni 16 tu iyo idadi nyingine mnayopika peleekeni Mabeberu