#COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19
Mheshimiwa Rais leo amesema wazi kuwa, ugonjwa wa Corona sio tishio kubwa la maisha ya watanzania kiasi cha kuzuia shughuli nyingine muhimu kuacha kuendelea.

Pia ameendelea kusema kuwa anaangalia uwezekano wa ligi za soka kurejea kama kawaida maana kikwazo cha msingi hakipo.

Wakati Rais anayasema hayo, bado shule na vyuo vyote nchini Tanzania vimefungwa kwa zaidi ya mwezi mmoja na nusu sasa huku hatma ya lini vitafunguliwa haijulini na mitihani ya kitaifa ya kidato cha sita imehairishwa kwa muda usiojulikana.

Tuanze na vipambaule kabla ya mambo mengine.
 
Corona ni ugonjwa wa kawaida sema tulijazwa hofu na Watu wabaya
 
Hili ni ombi langu kwenu , achaneni na wapotoshaji wazalendo , miluzi mingi hupoteza Mbwa.

Jikingeni na virusi vya gonjwa hatari la Corona kwa kufuatilia ushauri wa WHO kama raia wa Mataifa mengine yaliyostaarabika wanavyofanya.

Mkifuata ushauri wa kishirikina mtapukutika bila huruma .

Majuto ni Mjukuu
Kabisa mkuu,Jiwe anafanya herd immunity atapukutisha watu sana.

1.Kunawa mikono mara kwa mara na maji tiririka na sabuni.
2.Kutojishika uso(pua+mdomo+macho)
3.Kujisafisha mikono na sanitizer,kusafisha sehemu za taa,vitasa kwa sanitizer
4.Kuvaa barakoa
5.Social distancing.
6.Stay at home kama hauna ulazima wa kutoka,hapa kwa wale wenye mipunga(akiba) na wanafanya kazi wakiwa home.
 
Wafungue tuu Maana ata uwezo wa kuvifunga tena wanao, So ni maamuzi yao [emoji1][emoji1][emoji1]

I'm on that good kush and alcohol
 
Unapika wali unatia majani ya maboga mchicha mnavu kisamvu nyama kachumbari
Lazima uharishe kwa mchanganyo huu
 
Imewaonya watu wote wanaotumia madawa ambaya hayajapitishwa na wataalamu wa afya kuwa uenda wakapa matatizo kupitia dawa hizo imesema mpaka sasa hakuna dawa inayoweza kutibu corona watu waache mara moja kutumia dawa ambazo ni hatari kiafa.

Sasa sisi wanyonge tumuamini nani Nyungu, Kujifukiza, Za Madagascar au malimao na tangawizi? wizara imesema hakuna dawa mpaka sasa na tuwapuuze.

My Take: 'Nchi ipo njia panda'
Za kuambiwa tunachanganya na za kwetu mkuu. Kila mtu anywe anachoona kitamponya. Otherwise tuendelee kujificha Chattle
 
Ni 16 tu iyo idadi nyingine mnayopika peleekeni Mabeberu
kuna mtu kaenda kuzika bibi yake juzi kakutana na maiti nyingine 18 , ni punguani gani ataendelea kuamini hiyo 16 isiyoongezeka huku makaburi yanazidi kujaa ?
 
uzalendo unapozidi kikomo huleta mahafa sana ikumbukwe hata vita ya kwanza na ya pili ya dunia ilichochewa zaid na kitu kinaitwa uzalendo.
 
Jiwe vikohozi vilikua vingi sana leo.
Natia ubane InshaaAllah tupate na TANZIA ya Chato.
 
Back
Top Bottom