Usitegemee Kovid-19 ikaisha completely hapa Tz na pengine Africa. Haipo na haitatokea.

Imeshasambaa mnoo na mwingiliano ni mkubwa sana kati yetu na pia mataifa mengine duniani...
Hii vita tunaishinda naimani kubwa sana juu ya hili
 
Tazamenihii video kwa makini

today 9/May/2020
Coronavirus Cases: 440
Deaths: 6
Recovered: 366
No lock down at all


Your browser is not able to display this video.
 
1. Kuanzia Mapema kabisa ningedhibiti mipaka na Aiports kwa kuhakikisha kila anayeingia ni corona free.

2. Ningetoa updates kila siku ya magnitude ya ugonjwa, vifo na recoveries ili watu wachukuwe tahadhari kwa kutumia taarifa sahihi.
3. Ningetenga bajeti wezeshi kwa ajiri ya PPE kuwalinda front liners wanaohatarisha maisha yao.
4. Ningezuia mikusanyiko yote inayohatarisha maambukizi ikiwepo kuzuia kwa mda michezo, masule nk ibada makanisani na misikitini. Kuzuia mikusanyiko kwenye mabaa .

5. Ningetoa amri ya kuvaa mask kwa kila mtu on top of frequent sanitization of hands.

6. Nisingeingilia kwa namna yoyote taratibu za kitaalamu kwenye makabiliano na corona.

7. Aggressive measures measures ikihusisha upimaji , partial rock down ningeelekeza kwenye hard hit cites kama DSM na Arusha kuhakikisha ugonjwa hausambai

Tatizo tuliowapa dhamana walizembea toka mwanzo as a result people are dying out there and there is nothing we can do any more . just waiting for our turn
 
Najibu Maswali haya kuhusu Corona kwenye video hii kwa kupitia BBC Swahili:
1. Je Papai inaweza kuwa na Corona?
2. Je dawa ya Madagascar inatibu Corona?
 
Mwanao akifa, ndiyo atakuwa amechangia mihula ya masomo kutoharibika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninoma baba yani tulivyo uzalau huu ugonjwa ndivyo na wenyewe unavyo tuzarau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfalme Caligula aliweza hata kumbaka dada yake wa kuzaliwa baba mmoja na mama mmoja kwa ashiki ya ngono iliyovuka mipaka.
 
Napenda niwaulize wadau ivi Corona ni kaugonjwa KADOGO Kama mafua ya kawaida,au maombi tulio muomba Mungu wetu kayapokea, au muda haujafika? Wa sisi kuanza kufa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili kukabiliana na COVID19 ingefaa pawepo mobile testing centers kwenye Masoko/Shopping Malls, Stendi za mabasi na Nyumba za Ibada ili watu wengi wajue afya zao ndani ya muda mfupi.
 
Additional testing should be directed to Frontline/health workers. Vinginevyo tutapoteza wengi.
 
Kwani raisi anataka hizi habari corona ni mafua ambayo yapo advance sisi tuchape kazi.
Raisi arudi nyuma alipo jikwaa aanza jenga upya nchini sahivi janga likiipata Tz watu ndo wanashangilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…