Mirlz B Matthew
JF-Expert Member
- Oct 10, 2011
- 2,212
- 3,093
Mbona nasikia capitation bado zinatoka??Unajua sasa tumesitisha kutoa yale ma Bilioni ya capitation?
Unataka tufungee tuanze kuyatoa eeehhh!!!
Lipa kwanza kodi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona nasikia capitation bado zinatoka??Unajua sasa tumesitisha kutoa yale ma Bilioni ya capitation?
Unataka tufungee tuanze kuyatoa eeehhh!!!
Lipa kwanza kodi
Hii vita tunaishinda naimani kubwa sana juu ya hiliUsitegemee Kovid-19 ikaisha completely hapa Tz na pengine Africa. Haipo na haitatokea.
Imeshasambaa mnoo na mwingiliano ni mkubwa sana kati yetu na pia mataifa mengine duniani...
Kadiri unavyoukimbia mwangi ndio unavyozidi kuukaribiaSerikali ya awamu ya 5 inaumbuka vibaya sana hivi sasa..
Nasikia jamaa kakimbia chato yupo porini hivi sasa..
Na bado.
Kajificha porin miez miwili sasa anawaambia chapeni kazi musiogope[emoji22], kiongoz ni yule anaonesha mfano.Serikali ya awamu ya 5 inaumbuka vibaya sana hivi sasa..
Nasikia jamaa kakimbia chato yupo porini hivi sasa..
Na bado.
46 days gone.Ngoja amalizie kwanza likizo yake ya Pasaka. Atarudi tu Jijini na kuungana na watani zetu "Wanaume wa Dar" kupambana na Corona.
Mapumziko ya Pasaka!!!!Kwani Tanzania ni Dar tu?
Rais yupo kwenye mapumziko ya pasaka,acha nongwa
Mwanao akifa, ndiyo atakuwa amechangia mihula ya masomo kutoharibika?Kwa maoni yangu, Serikali ndio inayofahamu makali ya CORONA hapa kwetu. Nashauri madarasa ya Mitihani wawahi kufungue shule( vyuo na shule zilizo chini ya NECTA) kwa sasa.
Maana utaratibu wa maisha wa kupambana na hili gonjwa haujabadilika sana. Hii itasaidia kupunguza kuvurugika kwa mihula.
Ninoma baba yani tulivyo uzalau huu ugonjwa ndivyo na wenyewe unavyo tuzarauBaada ya kelele kuwa nyingi toka kwa baadhi ya watu kuhusu namna tunavyochukulia corona, tulisikika tukisema:
1. Hatuwezi kuzuia wachina kwa kuwa ni watalii acha waje watakuza uchumi wetu
2. Wachina wanaokuja hawatoki Wuhan ambako ni chimbuko la maambukizi
3. Wachina ni ndugu zetu hatuwezi kuwazuia
4. Baada ya muda tukaona tangazo mchina anatafutwa akisemekana ana corona
5. Wenzetu wanaathirika sana kwa kuwa nchi zao ni za baridi sisi ni kwetu kuna joto
6. Muafrika ana ngozi ngumu tumafua tunagonga mwamba
Ongeza na zako unazozikumbuka
Mfalme Caligula aliweza hata kumbaka dada yake wa kuzaliwa baba mmoja na mama mmoja kwa ashiki ya ngono iliyovuka mipaka.Usimfananishe na Musa unakashifu imani za walio wengi. Labda umfananishe na huyu Mfalme wa dola ya Kirumi aliyetawala kuanzia 37- 41 kwa jina CALIGULA.
Gaius Caesar aliyepewa jina la Caligula “kiatu kidogo” alizaliwa Augst 31 mwaka 12 Baada ya Kristo yaani B.K. katika mji wa Antium kwa sasa unaitwa Anzio huko Italia. Alikuwa mtoto wa tatu katika watoto sita walizaliwa na Germanicus na mkewe Agrippina mkubwa. huyu alichukua uongozi toka kwa Tiberius akiwa ni mtawala wa Roma kuanzia mwaka 37 B.K na kuchukua jina la Gaius Caesar Germanicus.
Kumbukumbu zinaonesha alikuwa ni mmoja ya watawala wakatili sana asiye na huruma, asiyetabirika na mwenye roho mbaya.alikamata watu wote ambao walikuwa wakimpinga na kuwa hukumu kifo.