kwani konyagi bei gani??

usiseme niko nje ya mada.
 
Tunatumaini kwa kutunanga wanakotunanga watagundua dawa ili watuuzie.
 
Mkuu tafuta kinywaji baridi piga utulize akili.
Corona bado ipo na inaua, jikinge wewe na familia yako.
Siasa achana nazo.
 
Rais wa Belarus alisema vodka ni tiba na Kinga ya Coronavirus COVID-19. Kwa kweli nchi Yake ikawa na maambukizi kidogo Sana, ligi yao haikusimamishwa, wamekipiga mwanzo mwisho
moja kati ya nchi za mabaharia
 
Mara kadhaa najaribu kumuelewesha wife kujikinga COVID-19 lakin aisee Ni changamoto jitu linachukulia poa tu. Yaan linaalika ndugu zake tu. Daah aisee Ni shida hawa viumbe.
NB: ukijaribu kumuelekeza kwaupendo hatari ya kupata COVID19 ananuna siku 5.
Duh...…….Jitu...………..lina! mwee
 
Unaonekana wewe ni mchoyo sana
Tuanzie hapo kwanza.

Na inaonyeaha hupendi wageni kwako.
Usipomheshimu mkeo hata majirani na ndugu zako watamdharau.
,hivyo hivyo na watoto watamdharau pia.
Embu jifunze kuwa na heshima
 
Duh, umetuangusha sana wanaume wenzio. Kama hivi ndo jinsi unasolve mambo yako nyumbani kaa chini tafakari kwa upya. Mi wakwangu alikuwa hivyo hivyo niliamua kutumia demikrasia tu ya kuwa namsimulia kila siku update za corona, kisha nikanunua ndoo ya maji na sabuni nikaweka mlangoni kila mgeni akiingia ananawa, sa hivi ameelewa atoki bila barakoa popote aendapo, sasa we mwenzangu vipi kumuita mkeo JITU ?
 
Mara kadhaa najaribu kumuelewesha wife kujikinga COVID-19 lakin aisee Ni changamoto jitu linachukulia poa tu. Yaan linaalika ndugu zake tu. Daah aisee Ni shida hawa viumbe.
NB: ukijaribu kumuelekeza kwaupendo hatari ya kupata COVID19 ananuna siku 5.
Mkuu unesema vizuri sana, lakini ulipokosea ni kumwita mkeo "jitu" hapo mkuu umekosea sana! Mengine nakubaliana na wewe, wake zetu hawa ni changamoto sana yaani hata umweleshe vipi bado hakuelewi kabisa! Hapa kwangu yaani kama COVID-19 haipo kabisa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara kadhaa najaribu kumuelewesha wife kujikinga COVID-19 lakin aisee Ni changamoto jitu linachukulia poa tu. Yaan linaalika ndugu zake tu. Daah aisee Ni shida hawa viumbe.
NB: ukijaribu kumuelekeza kwaupendo hatari ya kupata COVID19 ananuna siku 5.
Kwani unashindwa kupiga marufuju watu kuja hapo nyumbani kwa wakati huu?

Hapo ni nyumbani kwako?

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…